Tangazo la Kupotea kwa Members wengine wa JF

Tangazo la Kupotea kwa Members wengine wa JF

hvi mto ruvu walikuwa wangapi vile
Hivi unaandika mambo kama haya ina maana hujui tunavyoongea hapa sasa hivi founder wa JF yuko wapi???[emoji30] Au unajifanya kujitoa ufahamu??[emoji30]
 
poa watamwacha tu soon, kuna kaupepo kana pita tu kwa sasa,japo siyo mzuri utatusababishia mafua,hatuna namna
ila lengo lao wanataka jamaa atoe data za watu kama wewe ambao wanataja taja issue za mto ruvu bila kuwa na ushahidi!!
 
ila lengo lao wanataka jamaa atoe data za watu kama wewe ambao wanataja taja issue za mto ruvu bila kuwa na ushahidi!!
ushahidi upi tena,kwani hakuna watu waliookotwa mto ruvu? na kwa sasa uchunguzi unaendela japo wamesha zikwa
 
ushahidi upi tena,kwani hakuna watu waliookotwa mto ruvu? na kwa sasa uchunguzi unaendela japo wamesha zikwa
Linapokuja suala la sheria neno ushahidi siyo rahisi kama unavyofikiri mkuu!!
 
ok nikipatwa utaniwakilisha kama vip,inaonekana unakacertificte ka law
 
@moneystuna nasikia alikuwemo kwenye ile ndege ya malyasia,sijui alipona au ndo basi tena
 
Back
Top Bottom