Tangazo la Kupotea kwa Members wengine wa JF

Tangazo la Kupotea kwa Members wengine wa JF

Game Theory
Mtu wa pwani
Kuhani
Nyani Ngabu
Kiranga
Kahtaan
Mwanajamiione
Shossi5
Dr Riwa
Mzee mwanakijiji
Madame X
Gsfowin
Malaria Sugu
AshaDii
Lolapaloooza
Lizzy
Paloma
Nivea
Lady doctor
Smile
Snail
Mr Rocky
Cacio
Tembosa
Mrembo by nature
Lady in action
Binti.com
Binti kiziwi
Sunsharie
Kalunguine

Mwaj wa ukweli niliifuma ID yake mpyaa

Ila namtafuta sana UncleBen . Niliifurahia michango yake JF.
 
huyu mnitafutie jamani mniletee........mpaka nimemmisplace..........
Yaani we ni mmoja kati ya watu walifanya nijiunge jf.
Big up sana sista though sku hizi kweli umepotea kweli kweli
 
Hapana Mkuu hebu funguka kuhusu huyo Bubu ataka kusema Mkuu. LOL!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nadhani ungeandika hivi Bubu Ataka Kusema...lol
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom