Tangazo la nafasi za Kazi 1,904 kutoka Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

Yaani kumlinganisha Jiwe na Maza Ni kumkosea heshima Maza kabisa.Jiwe hakua mtu yule,nafasi Kama hizi aliona akizitoa vijana watafaidi kishenzi.Hovyo Sana yule.
Kweli mkuu, yaani Bora Alifariki,watu wameteseka Sana.
 
Habarini wakuu.

Naomba yeyote mwenye WhatsApp group au watakuwa na group discussion ya Afisa Utumishi na Afisa Tawala anijuze na aniunge
 
Yes sis ni wa actuaries pia naweza kufanya kwenye insurance company sema ndo ivo broo

A
Natamani ama nakutamani mkuu mno. Unajua mnavyofanya mpaka unasema kuwa hii bima ikatwe kwa Bei Fulani vigezo mnavyotumia lakini.
 
Kama mkate unaotoka hapo unaridhisha mi naona uko sehemu sahihi
 
Graduate wa sasa yuko tayari hata kulipwa laki na nusu, waache vijana wapate hicho kidogo
 
Hili tatzo limenipata Mimi, Yani kwenye tangazo la kazi sifa zilizoorodheshwa zote ninazo na zinaendana na zilizopo kwenye profile yangu, ila nikiclick apply inanambia FAILED

Sijui shida ni nini
huna vigezo hapo chuo chako inabidi itafute namna
 
Mama anaendelea kuupiga mwingi

kuanzia ktk miundombinu, ajira, maslahi, utawala bora na kila kitu.

Maendeleo ya watu na vitu kwa wakati mmoja
Oya mbona kazi za uhandisi hawa wang£s£ mbona hawatoi ? , it has been like a decade now these assholes haven't offered engineering oriented jobs ,only God knows the last time engineering jobs were offered .
Ni aibu taifa kubwa kama hili kujivubia kuimport wataalamu wakati mnashindwa kuwautilize wataalamu wenu wenyewe , upuuzi Sana hii nchi.

Kila nikiangalia kule indeed.com , Glassdoor kazi za uhandisi Australia ,Newzealand ,Canada , USA na UK zilivyotele na mishahara ya kufuru halafu you mtu unamaliza chuo unakaa mtaani miaka kumi + kusaga rumba huwa napata hasira Sana , Bora kuzaliwa mbwa ulaya kuliko kuzaliwa mtu Tanzania . Inatia hasira Sana
 
Nmesoma Public admnistration in LGAs ila kila nikia apply katika kada ya afisa tawala inakataa , kuna yeyote amekutana na changamoto hii anisaidie kutatua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…