Tangazo la nafasi za Kazi 1,904 kutoka Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

Tangazo la nafasi za Kazi 1,904 kutoka Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

Nmesoma Public admnistration in LGAs ila kila nikia apply katika kada ya afisa tawala inakataa , kuna yeyote amekutana na changamoto hii anisaidie kutatua
Mzee bila shaka umesoma Mzumbe hiyo kozi, Mzumbe inabid wafanye namna kuongea na sekretariati ya ajira ikishindikana hiyo kozi ifutwe manake kma ni public administration in LGA na huwezi kuomba kazi yoyote iwe hata ya afisa tawala haimake sense. Wamechukua ada za watoto bure na system ya utumishi haitambui hiyo kozi
 
Taifa Lina vijana wapuuzi sana, nikafikiri Katoa ajira laki moja kumbe ajira hata buku mbili hazifiki mnaanza kuropoka tu ooh mama anaupiga mwingi, hivi viajira vinamezwa na mtaa mmoja tu wa magomeni afu mnasifu kunya kunya tu hapa. Serikali kama haitaki kuajiri bora ituache tu kuliko kuleta viajira vya uongo na kweli
Ni mwendelezo mama anajitahidi kwa kweli. Ualimu wameomba, udaktari na wale walioandamana wa jkt wameitwa na bado watatangaza zingine. Tuwe na shukran hata kwa kdgo
 
Inatengemea huyo Daktari wa mifungo(Veterinary medicine) ameajiriwa wapi lakini kama ataajiriwa TANAPA, TRA haoni ndani
Hiyo TGS F ni mishahara ya halmashauri/manispaa/jiji
Sasa hapo unazungumzia eneo ambalo kuingia ni nadra sana. Kiufupi pigeni shule hivyo VI mishahara viongezeke.
 
Walioajiriwa kwenye ujenzi wa reli, mabwawa, barabara ni zaidi ya hawa 1900+. Utendaji wa mama bila kuwadanganyia hivi viajira hana ushawishi mwingine kwa wananchi.
Ni namba tuu 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220530-142410.png
    Screenshot_20220530-142410.png
    123.9 KB · Views: 32
  • Screenshot_20220530-142448.png
    Screenshot_20220530-142448.png
    116.7 KB · Views: 37

Attachments

  • Screenshot_20220530-120701.png
    Screenshot_20220530-120701.png
    156.2 KB · Views: 35
  • Screenshot_20220530-120751.png
    Screenshot_20220530-120751.png
    144.7 KB · Views: 33
  • Screenshot_20220530-120607.png
    Screenshot_20220530-120607.png
    180.6 KB · Views: 44
Ivi ilo tangazo mbona utumishi safari hii hawajasema maombinyaandikwe kwa mkono ili waone hatinza waombaji... Maana kuna wengine hati zao ni mhhhhhh eiiiiii
 
Mzee bila shaka umesoma Mzumbe hiyo kozi, Mzumbe inabid wafanye namna kuongea na sekretariati ya ajira ikishindikana hiyo kozi ifutwe manake kma ni public administration in LGA na huwezi kuomba kazi yoyote iwe hata ya afisa tawala haimake sense. Wamechukua ada za watoto bure na system ya utumishi haitambui hiyo kozi
Chuo cha mzumbe inabidi ikae na itumishi izungumze kuhusu hili jambo maana hii kozi ya BPA LGA
Mtu ananaweza kuwa afisa utumishi maana tumesoma wote kuhusu labour law , naamna ya kuajiri wa tu tena specific katka LGAs
Pia hyu mtu aliyesoma hii kozi ya BPA LGA anaweza kufanya kazi zote za afisa tawala hsa katka serikali za mitaa sasa sijui chuo chetu kinakwama wap
 
Back
Top Bottom