Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Nyinyi utumishi siyo?Maisha hayakupiga vzur bado ungejua kuna kazi ya medical ilitoka tukakuta na HR ameombaa
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyinyi utumishi siyo?Maisha hayakupiga vzur bado ungejua kuna kazi ya medical ilitoka tukakuta na HR ameombaa
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Mzee bila shaka umesoma Mzumbe hiyo kozi, Mzumbe inabid wafanye namna kuongea na sekretariati ya ajira ikishindikana hiyo kozi ifutwe manake kma ni public administration in LGA na huwezi kuomba kazi yoyote iwe hata ya afisa tawala haimake sense. Wamechukua ada za watoto bure na system ya utumishi haitambui hiyo koziNmesoma Public admnistration in LGAs ila kila nikia apply katika kada ya afisa tawala inakataa , kuna yeyote amekutana na changamoto hii anisaidie kutatua
Ni mwendelezo mama anajitahidi kwa kweli. Ualimu wameomba, udaktari na wale walioandamana wa jkt wameitwa na bado watatangaza zingine. Tuwe na shukran hata kwa kdgoTaifa Lina vijana wapuuzi sana, nikafikiri Katoa ajira laki moja kumbe ajira hata buku mbili hazifiki mnaanza kuropoka tu ooh mama anaupiga mwingi, hivi viajira vinamezwa na mtaa mmoja tu wa magomeni afu mnasifu kunya kunya tu hapa. Serikali kama haitaki kuajiri bora ituache tu kuliko kuleta viajira vya uongo na kweli
Sasa hapo unazungumzia eneo ambalo kuingia ni nadra sana. Kiufupi pigeni shule hivyo VI mishahara viongezeke.Inatengemea huyo Daktari wa mifungo(Veterinary medicine) ameajiriwa wapi lakini kama ataajiriwa TANAPA, TRA haoni ndani
Hiyo TGS F ni mishahara ya halmashauri/manispaa/jiji
Walioajiriwa kwenye ujenzi wa reli, mabwawa, barabara ni zaidi ya hawa 1900+. Utendaji wa mama bila kuwadanganyia hivi viajira hana ushawishi mwingine kwa wananchi.Sukuma gang waendeleee kuponda tena
Ni namba tuu 👇Walioajiriwa kwenye ujenzi wa reli, mabwawa, barabara ni zaidi ya hawa 1900+. Utendaji wa mama bila kuwadanganyia hivi viajira hana ushawishi mwingine kwa wananchi.
Chawa kazini. 😂 wananchi tutamuangusha tembo 2025 maana sa hv ni rahisi sanaNi namba tuu 👇
Alaaa 😬😬😬😬Chawa kazini. 😂 wananchi tutamuangusha tembo 2025 maana sa hv ni rahisi sana
Hatochomoka 2025 we tutumie vitu vya Magufuli tu hapa. Yule alishasepa huyu tunakula nae sahani moja 2025Alaaa 😬😬😬😬
Sawa utachomoka wewe 😆😆Hatochomoka 2025 we tutumie vitu vya Magufuli tu hapa. Yule alishasepa huyu tunakula nae sahani moja 2025
Nchi lazima irudi mahali salama, haiwezekani tuendelee na mfumko wa bei huu unaosafiri nchi mbalimbali bila kukaa na kutafakari ya nchini kwake.Sawa utachomoka wewe 😆😆
Sawa kabisaaaaa utagombea wewe au nani? 🤣🤣Nchi lazima irudi mahali salama, haiwezekani tuendelee na mfumko wa bei huu unaosafiri nchi mbalimbali bila kukaa na kutafakari ya nchini kwake.
Umri bado unanisaliti, yupo tu mwanaccm makini atajitokeza huko mbeleni sitaki nipige ramuli chonganishi sa hv.Sawa kabisaaaaa utagombea wewe au nani? 🤣🤣
Sio hivyo mwanangu hela zenyewe za kunga unga kupoteza nauli halafu unajua kuna Madudu inauma kinyamaMaisha hayakupiga vzur bado ungejua kuna kazi ya medical ilitoka tukakuta na HR ameombaa
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
My wewe huombi,au ulishapata?Kila la kheri mtakaomba nafasi hizo
Chuo cha mzumbe inabidi ikae na itumishi izungumze kuhusu hili jambo maana hii kozi ya BPA LGAMzee bila shaka umesoma Mzumbe hiyo kozi, Mzumbe inabid wafanye namna kuongea na sekretariati ya ajira ikishindikana hiyo kozi ifutwe manake kma ni public administration in LGA na huwezi kuomba kazi yoyote iwe hata ya afisa tawala haimake sense. Wamechukua ada za watoto bure na system ya utumishi haitambui hiyo kozi
Hii jam ya ma jobless nchini aliisababisha yule kiraka. Unakaa 6yrs bila kuajiri utadhani umri wa vijana una stopBila jiwe usingempata Samia.mpe heshima yake pia