Kuna wapuuzi wanakwambia bora enzi za jiwe, jiwe alikuwa muhuni tu yule.Yaani kumlinganisha Jiwe na Maza Ni kumkosea heshima Maza kabisa.Jiwe hakua mtu yule,nafasi Kama hizi aliona akizitoa vijana watafaidi kishenzi.Hovyo Sana yule.
Mkuu keki ya Taifa tayari ama..Sasa hapa lazima nitoboe
Sekta ya kilimo haijajitosheleza watumishi, ila siyo kipaumbele kwa sasa.Kilimo au kada gani?
Mkulima na afisa kilimo ni watu wawili tofauti japo wako kada mojaBasi utaziona za Kilimo pia, kama Suala la kukaa Ofisini na kupiga story Kili kada wanafanya hvyo acha wivu kwa wakulima.. unakwenda chooni kwa sababu ya wakulima..
[emoji2][emoji2][emoji2]hizi kozi za wapi mkuu.Politics and Social Development
Wewe ulipaswa uwe kada wa ccm pale lumumba ungekula parefu sanaPolitics and Social Development
Sawa Ila Kumbuka Afisa KILIMO licha ya kuwa agent wa Kilimo, pia anaweza kuwa MkulimaMkulima na afisa kilimo ni watu wawili tofauti japo wako kada moja
Mkuu na zile za afisa Biashara, afisa utumishi, afisa kilimo ...Nani anasimamia upangaji wa kituo cha kazi ?!Ni halmashauri husika mfano watendaji wa vijiji, madereva, katibu muhtasi ,,,,,
Vp mshaitwa Usaili... Nasikia hii MIKEKA kama imeto/ikitoka Kila mtu atafanyia kwenye kanda yake..Humu ndani
Sekretarieti ya ajiraMkuu na zile za afisa Biashara, afisa utumishi, afisa kilimo ...Nani anasimamia upangaji wa kituo cha kazi ?!
Viwango vya mishahara kwenye sekta husika, Kuna Uzi upo humu umevitaja.Hivi hizo TGSA,B,C,D,E,F,G,H...sijui nini uko .. nini maana yake huwa sielewi kabisa. Watu wa ajira nisaidieni
kama wametangaza portal basi from A to Z watasimamia wao huko halmashauri utaenda tu kureportNaomba kuuliza wakuu, hizi ajira za halmashauri ni Nani anafanya maamuzi ya mwisho ?? Ni utumishi wenyewe au halmashauri (wakurugenzi) ..nafahanu utumishi wanasimamia usahili wa oral na written . Msaada