Tangazo la nafasi za Kazi 1,904 kutoka Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

Tangazo la nafasi za Kazi 1,904 kutoka Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

Yaani kumlinganisha Jiwe na Maza Ni kumkosea heshima Maza kabisa.Jiwe hakua mtu yule,nafasi Kama hizi aliona akizitoa vijana watafaidi kishenzi.Hovyo Sana yule.
Kuna wapuuzi wanakwambia bora enzi za jiwe, jiwe alikuwa muhuni tu yule.
 
Basi utaziona za Kilimo pia, kama Suala la kukaa Ofisini na kupiga story Kili kada wanafanya hvyo acha wivu kwa wakulima.. unakwenda chooni kwa sababu ya wakulima..
Mkulima na afisa kilimo ni watu wawili tofauti japo wako kada moja
 
Naomba kuuliza wakuu, hizi ajira za halmashauri ni Nani anafanya maamuzi ya mwisho ?? Ni utumishi wenyewe au halmashauri (wakurugenzi) ..nafahanu utumishi wanasimamia usahili wa oral na written . Msaada
 
Ni halmashauri husika mfano watendaji wa vijiji, madereva, katibu muhtasi ,,,,,
 
Humu ndani
Vp mshaitwa Usaili... Nasikia hii MIKEKA kama imeto/ikitoka Kila mtu atafanyia kwenye kanda yake..
Mfano Kanda ya Mashabiki - Dar
Kanda ya kati - Dodoma
Kanda ya kusini - Mtwara
Kanda ya Ziwa - Mwanza
Kanda ya kaskazini - Arusha
Nyanda za juu kusini - Mbeya
Kanda ya magharibi - Kidoma..
Hvyo wataindicate kulingana na Current post address aliyoitumia muhusika kwenye barua yake
 
Hizi nafasi watu washaitwa zamani wale walio fanya intview marks zao zikabaki kwenye data base
 
Hivi hizo TGSA,B,C,D,E,F,G,H...sijui nini uko .. nini maana yake huwa sielewi kabisa. Watu wa ajira nisaidieni
 
Naomba kuuliza wakuu, hizi ajira za halmashauri ni Nani anafanya maamuzi ya mwisho ?? Ni utumishi wenyewe au halmashauri (wakurugenzi) ..nafahanu utumishi wanasimamia usahili wa oral na written . Msaada
kama wametangaza portal basi from A to Z watasimamia wao huko halmashauri utaenda tu kureport

au nasema uongo???
 
Jamn mmejadili mambo mengi ila ningependa kujua hawa MDAs and LGAs huwa wanafanya nn kwa upande wa kada ya Takwimu nisaidini ndugu zangu. Majina yapo karibu kutoka
 
Back
Top Bottom