Tangazo la nafasi za Kazi 1,904 kutoka Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

  • Hizi Kazi zote TGS D LAKI 7
  • Kazi yenye 'angalau' mshahara mkubwa ni Daktari wa Mifugo anaenza na TGS F,
  • Wenye Nafasi ya kupiga Pesa ni Mawakili kwa sababu wanaweza wakawa wanafanya Kazi binafsi Kwa Siri huku na serikali, na CPA (T) unaweza ukafungua kiofisi au Ukawa unasaidia Watu kutengeneza Hesabu zao ukapiga kipato cha ziada Tena kingi, lakini AFISA Utumishi ni mshahara tu na makaratasi
Laki 7 !!!!
 
Daah,

Kuacha Private Organization pengine yenye mshahara wa 1.2M na kuja huko nyumbani kwa Mama inahitaji moyo mkuu.
 
Back
Top Bottom