Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka na Gap la mshahara wa Daktari na Afisa wa TRA (wote wana shahada.)Kumbe Udaktari unalipa aisee, Yani naona GAP Kati ya Afisa biashara, AFISA Utumishi tgs d na Daktari wa mifugo tgs f ni Kama 600,000/-
Kama milioni hivi Gap,Weka na Gap la mshahara wa Daktari na Afisa wa TRA (wote wana shahada.)
Umesoma kozi gani?Kazi zote 1904 siwez Ku apply sehemu at a moja da its so sad asee apo ndo unaanza kulaumu course uliyosoma
Insurance and risk managementUmesoma kozi gani?
Kuna kipindi TIRA walitangaza Nafasi za Kazi.Insurance and risk management
Ndio nlikua sjamalza chuo nimemaliza mwaka JanaKuna kipindi TIRA walitangaza Nafasi za Kazi.
Aaah hapo sawaNdio nlikua sjamalza chuo nimemaliza mwaka Jana
Shida inakuja kila nikiwaza mlolongo wa mpka majina kutoka ,plus interview na Connection Kama zoteHongereni mliotangaziwa na wenye sifa za kufukuzia hilo tonge
Laki 7 !!!!
- Hizi Kazi zote TGS D LAKI 7
- Kazi yenye 'angalau' mshahara mkubwa ni Daktari wa Mifugo anaenza na TGS F,
- Wenye Nafasi ya kupiga Pesa ni Mawakili kwa sababu wanaweza wakawa wanafanya Kazi binafsi Kwa Siri huku na serikali, na CPA (T) unaweza ukafungua kiofisi au Ukawa unasaidia Watu kutengeneza Hesabu zao ukapiga kipato cha ziada Tena kingi, lakini AFISA Utumishi ni mshahara tu na makaratasi
Kabisa, plus hela unayobetia kutoka ulipo hadi DODOMA, INAKUWA KAMA RANGI YA CHUNGWAShida inakuja kila nikiwaza mlolongo wa mpka majina kutoka ,plus interview na Connection Kama zote
Nakosa nguvu ku apply
[emoji23][emoji23]nchi ngumu Sana hiiWatu wa kilimo wamechinjiwa baharini
- Hizi Kazi zote TGS D LAKI 7
- Kazi yenye 'angalau' mshahara mkubwa ni Daktari wa Mifugo anaenza na TGS F,
- Wenye Nafasi ya kupiga Pesa ni Mawakili kwa sababu wanaweza wakawa wanafanya Kazi binafsi Kwa Siri huku na serikali, na CPA (T) unaweza ukafungua kiofisi au Ukawa unasaidia Watu kutengeneza Hesabu zao ukapiga kipato cha ziada Tena kingi, lakini AFISA Utumishi ni mshahara tu na makaratasi
Nafasi 1904.
Na hakuna sehemu naweza apply.
Ni gundu au ni nini mkuu? Njoo nikupeleke kwa mtaalamu ukaogeshweKazi zote 1904 siwez Ku apply sehemu at a moja da its so sad asee apo ndo unaanza kulaumu course uliyosoma
Uko org gani mkuu?Daah,
Kuacha Private Organization yenye mshahara wa 1.2 na kuja huko nyumbani kwa Mama inahitaji moyo mkuu