Tangazo la nafasi za Kazi 1,904 kutoka Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

Taifa Lina vijana wapuuzi sana, nikafikiri Katoa ajira laki moja kumbe ajira hata buku mbili hazifiki mnaanza kuropoka tu ooh mama anaupiga mwingi, hivi viajira vinamezwa na mtaa mmoja tu wa magomeni afu mnasifu kunya kunya tu hapa. Serikali kama haitaki kuajiri bora ituache tu kuliko kuleta viajira vya uongo na kweli
 
Hapana mkuu, labda kama wewe unahitaji zipo za Shambani Huku kama jembe unaliweza fresh tu, Nina Garden, Orchard na Sasa maandalizi (Palizi) ya Mikorosho imeanza karibu sana
Asante Sana fogo,ngoja nichukue na shoka kabisa mkuu.
Screenshot_20220524-012631.jpg
 
Insurance and risk management
Wewe ni potential Sana Basi tu mkuu. Yaani nchi hii ama wenyewe tunashindwa kuwa katika nafasi sahihi. Si ndio nyie ma actuaries science ama sio?
It pain me. Kuna kitu Ila inahitaji burning desire to achieve it Kama yai yai ni kazi sana.yaani elimu mie naiona ni nzuri Ila Kama ukiitumia wewe individual unafika mbali Sana Tena Sana. Kama daktari akifungua hospital yake sio sawa na aliyeajiliwa. Elimu sio mbaya sema ubaya wetu ni umasikini ulioko kwenye ubongo wetu I e mentality yetu.
Can you work in insurance companies.isnt it
 
Kwani Kuna degree ambayo inakuaga sio potential?
 
Back
Top Bottom