Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Mi nasikia Pale GGM miner anakula Almost 3m TshDaah,
Kuacha Private Organization yenye mshahara wa 1.2 na kuja huko nyumbani kwa Mama inahitaji moyo mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nasikia Pale GGM miner anakula Almost 3m TshDaah,
Kuacha Private Organization yenye mshahara wa 1.2 na kuja huko nyumbani kwa Mama inahitaji moyo mkuu
Ni hatar ndugu yangu kazi zote 1905 eti simo daaaaaNi gundu au ni nini mkuu? Njoo nikupeleke kwa mtaalamu ukaogeshwe
OrKumbe Udaktari unalipa aisee, Yani naona GAP Kati ya Afisa biashara, AFISA Utumishi tgs d na Daktari wa mifugo tgs f ni Kama 600,000/-
Kilimo hakuna mkuuKilimo au kada gani?
Doh..sio poa babuKilimo hakuna mkuu
Yaaaah Sheria nimeziona na zingine.. Upande wa Kilimo zile 814 sijui wanezipeleka wapi.Shombe la Kisomali kazi hizo
Nafasi ikitokea unaondoka tu huko Private, siwezi kuangalia maslahi pasipo job security.Daah,
Kuacha Private Organization yenye mshahara wa 1.2 na kuja huko nyumbani kwa Mama inahitaji moyo mkuu
Kama unadiploma yake ipo kazi ya maafisa ustaw wa jamii imetangazwa lakini pia omba zile za CAGInsurance and risk management
Kilimo si walitoa nafasi 2 juzi? 1 ya ke" na 1 ya me"Yaaaah Sheria nimeziona na zingine.. Upande wa Kilimo zile 814 sijui wanezipeleka wapi.
Kilimo si walitoa nafasi 2 juzi? 1 ya ke" na 1 ya me"
Kilimo hakuna uhaba. Labda wa mabwana shamba
Kwani mkuu unatafuta ajira?Wewe ni mtoto na huna lolote ulijualo..So Kaa pembeni sitaki kupotezewa muda na watoto
Hapana mkuu, labda kama wewe unahitaji zipo za Shambani Huku kama jembe unaliweza fresh tu, Nina Garden, Orchard na Sasa maandalizi (Palizi) ya Mikorosho imeanza karibu sanaKwani mkuu unatafuta ajira?
Wewe afadhali uko hatua kadhaa, wengine ajira portal inasema FAILED wakati profile iko full chargeShida inakuja kila nikiwaza mlolongo wa mpka majina kutoka ,plus interview na Connection Kama zote
Nakosa nguvu ku apply
Asante Sana fogo,ngoja nichukue na shoka kabisa mkuu.Hapana mkuu, labda kama wewe unahitaji zipo za Shambani Huku kama jembe unaliweza fresh tu, Nina Garden, Orchard na Sasa maandalizi (Palizi) ya Mikorosho imeanza karibu sana
Asante Sana fogo,ngoja nichukue na shoka kabisa mkuu.View attachment 2243350
😄😄😄 Mtoto shombeshombe endelea na kilimo Cha denda.All the best.Sasa hii screenshot uliloweka inahusiana nn na tulizungumzalo au jinai Iko wapi hapo..? inaonesha unatafuta bifu na Mimi bwege wewe au sio..? Nipange kwanza mapema nijue
Wewe ni potential Sana Basi tu mkuu. Yaani nchi hii ama wenyewe tunashindwa kuwa katika nafasi sahihi. Si ndio nyie ma actuaries science ama sio?Insurance and risk management
Kwani Kuna degree ambayo inakuaga sio potential?Wewe ni potential Sana Basi tu mkuu. Yaani nchi hii ama wenyewe tunashindwa kuwa katika nafasi sahihi. Si ndio nyie ma actuaries science ama sio?
It pain me. Kuna kitu Ila inahitaji burning desire to achieve it Kama yai yai ni kazi sana.yaani elimu mie naiona ni nzuri Ila Kama ukiitumia wewe individual unafika mbali Sana Tena Sana. Kama daktari akifungua hospital yake sio sawa na aliyeajiliwa. Elimu sio mbaya sema ubaya wetu ni umasikini ulioko kwenye ubongo wetu I e mentality yetu.
Can you work in insurance companies.isnt it