Oya mbona kazi za uhandisi hawa wang£s£ mbona hawatoi ? , it has been like a decade now these assholes haven't offered engineering oriented jobs ,only God knows the last time engineering jobs were offered .
Ni aibu taifa kubwa kama hili kujivubia kuimport wataalamu wakati mnashindwa kuwautilize wataalamu wenu wenyewe , upuuzi Sana hii nchi.
Kila nikiangalia kule indeed.com , Glassdoor kazi za uhandisi Australia ,Newzealand ,Canada , USA na UK zilivyotele na mishahara ya kufuru halafu you mtu unamaliza chuo unakaa mtaani miaka kumi + kusaga rumba huwa napata hasira Sana , Bora kuzaliwa mbwa ulaya kuliko kuzaliwa mtu Tanzania . Inatia hasira Sana