hongera vodacom kwa kutimiza malengo[/QUO
Yakukarahisha hadhira????? Ndio lilikuwa lengo la Voda????
Wewe unadhani unafanya mzaha lakini unapanda mbegu ya ukabila polepole bila ya kutambua tukosoe bila kutaja makabila na imani jamani!Lile la taarifa ya habari "Nimeshinda nimeshinda"
yule dem anaweza kuwa kabila gani?
Maon si matusi
Acheni ukabila jamani!mchaga
Wewe unadhani unafanya mzaha lakini unapanda mbegu ya ukabila polepole bila ya kutambua tukosoe bila kutaja makabila na imani jamani!
Mimi na mke wangu hatulipendi vibaya sana hili Tangazo. Likianza huwa tunazima TV. Naomba waliache mara moja na walete lingine.