-Wakuu heshima mbele sana unajua tuko kwenye kampeni za siasa na uchaguzi, jamaa zangu watatu tayari wako US, toka last week wawili wako Florida na mmoja amekwenda Virginia, bado hawajakamilisha mipango yote kama inavyotakiwa inachukua muda, otherwise nitawajulisha maendeleo yake.
Ninarudi kwenye kampeni.
Respect.
FMEs!
teh teh teh bongo !!!!duuh kila mtu chaujanja....FMES nae amekiunga kwenye ligi ya makanyanga.duuuuhhhhh si mchezo.
Naona SAUTI YA UMEME ameFULIA big time.Bongo ngumu jamani!!!!eeehehheehee.
Mwacheni Bahari apige kampeni bana......!
Mwacheni Bahari apige kampeni bana......!
bado anakusanyakusanya dollar 300 awapeleke jamaa majuu kwenye kamradi kake..teh teh teh teh.Baharia uko wapi na kazi za majuu?
bado anakusanyakusanya dollar 300 awapeleke jamaa majuu kwenye kamradi kake..teh teh teh teh.
Kila mara cheap is expensive, sidhani kama ajira inaweza kupatikana straight namna hii, hii mm inanitia mashaka, namuomba mheshimiwa atupe e-mail ya huyo dada ili watu tuwasiliane nae straight, wengi tunahitaji, na atupe mfano wa watu walioenda na kupata ajira huko ili tuone ukweli wake. Kusadiki kwa Toma jamani. Dollar 300 sio nyingi kama imetumika kwa faida ila ni nyingi kama ikipotea au ikaibiwa au ikatapeliwa.
Hivi hii thread baharia huwa haioni eeehhhh hahahahahahahah!
Naomba urafiki na wewe FL.......tunashukuru kwa information hizo
hizo dola mia tatu wanataka za nini kama wamesema ni msaada ,
kuna watu wana shida sana lakini uwezo wa kuipata 300 usd ni tabu ..huo ni msaada gani wanaotaka kupewa hela kwanza teh teh teh
Naomba urafiki na wewe FL.......
Maslahi ya Taifa Mbele hasa Kipindi hiki kuelekea uchaguzi Mkuu...FMES ulikuwa utatafuta pesa za kampeni ama?
Taratibu mzee.....baharia keshaanza kupata umaarufu huko kny campagn za chini kwa chini, utamharibia bana.......! Ningekuwa baharia, ngekuziba mdomo kwa chapaaa....ungetulia tu......!