Tangazo Maalum: Mradi wa Kazi Majuu!

Tangazo Maalum: Mradi wa Kazi Majuu!

Status
Not open for further replies.
-Wakuu heshima mbele sana unajua tuko kwenye kampeni za siasa na uchaguzi, jamaa zangu watatu tayari wako US, toka last week wawili wako Florida na mmoja amekwenda Virginia, bado hawajakamilisha mipango yote kama inavyotakiwa inachukua muda, otherwise nitawajulisha maendeleo yake.

Ninarudi kwenye kampeni.

Respect.

FMEs!

Janja yako kumbe ilikuwa kamanda kutafuta pesa za kampeni teh teh teh .....mzee mumeanza mapema sana angalia wapiga kura wasije sahau sera zenu.....
 
teh teh teh bongo !!!!duuh kila mtu chaujanja....FMES nae amekiunga kwenye ligi ya makanyanga.duuuuhhhhh si mchezo.

Naona SAUTI YA UMEME ameFULIA big time.Bongo ngumu jamani!!!!eeehehheehee.
 
bado anakusanyakusanya dollar 300 awapeleke jamaa majuu kwenye kamradi kake..teh teh teh teh.

2840_1150002833292_1324231244_377956_5097565_n.jpg

FMES vipi bwana na DECI lako?
 
Kila mara cheap is expensive, sidhani kama ajira inaweza kupatikana straight namna hii, hii mm inanitia mashaka, namuomba mheshimiwa atupe e-mail ya huyo dada ili watu tuwasiliane nae straight, wengi tunahitaji, na atupe mfano wa watu walioenda na kupata ajira huko ili tuone ukweli wake. Kusadiki kwa Toma jamani. Dollar 300 sio nyingi kama imetumika kwa faida ila ni nyingi kama ikipotea au ikaibiwa au ikatapeliwa.
 
We mPM baharia utakuunganisha fasta.....watu wajifunzie kunyoa kichwa chako.......!
 
Hivi hii thread baharia huwa haioni eeehhhh hahahahahahahah!
 
tunashukuru kwa information hizo
hizo dola mia tatu wanataka za nini kama wamesema ni msaada ,
kuna watu wana shida sana lakini uwezo wa kuipata 300 usd ni tabu ..huo ni msaada gani wanaotaka kupewa hela kwanza teh teh teh
 
Naomba urafiki na wewe FL.......
 
WA TZ bana! mnashukuru kwa kila kitu hata kama mnaenda kuuwawa te te te te! tujifunze kuangalia kitu kwa pande 2 sio 1 tu.....if we dont open our eyes and see far we'l think we are on top of the world.
 
Maslahi ya Taifa Mbele hasa Kipindi hiki kuelekea uchaguzi Mkuu...FMES ulikuwa utatafuta pesa za kampeni ama?
 
Maslahi ya Taifa Mbele hasa Kipindi hiki kuelekea uchaguzi Mkuu...FMES ulikuwa utatafuta pesa za kampeni ama?

Taratibu mzee.....baharia keshaanza kupata umaarufu huko kny campagn za chini kwa chini, utamharibia bana.......! Ningekuwa baharia, ngekuziba mdomo kwa chapaaa....ungetulia tu......!
 
Taratibu mzee.....baharia keshaanza kupata umaarufu huko kny campagn za chini kwa chini, utamharibia bana.......! Ningekuwa baharia, ngekuziba mdomo kwa chapaaa....ungetulia tu......!

Hapa ni $ 300 hahahahahaha mambo mengine bwana nitaenda jimboni kwake na huu upupu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom