Tangazo Maalum: Mradi wa Kazi Majuu!

Status
Not open for further replies.
- Ooh yeah nimo tayari, nimeingiza watu wangu watatu.

Respect.

FMEs!

Baharia kiboko hujaamini hii kitu umeuvaa mkenge? Mzee kusafiri kwako sana hii hujashtuka tu ? kitu imeishakula kwako very unfortunately!

Masa
 
Baharia kiboko hujaamini hii kitu umeuvaa mkenge? Mzee kusafiri kwako sana hii hujashtuka tu ? kitu imeishakula kwako very unfortunately!

Masa

- Unaona sasa mkuu unaanza kuwa mganga wa kienyeji badala ya great thinker! Ningekua nimeshituka nisingelipa dola 900! Hela zinaliwaje kabla hazijaliwa?

Respect.

FMEs!
 
Jamani tuambiane isije ikawa ni Deci maana watu wengi wanashida sana wasije wakadumbukia kwenye mtego.
 
Tracing ehhhhhhhhhhhhh!!!! Dots abcdefghijklmnopqrstuvwxyz connect each other!!!! I will not dare!!!
 
Au inawezekana anatega tega mingo....akisikia tu lile dili si fake atie timu immediately....ha!ha!ha!ha!....! au sio?

Baharia ameingia mkenge sasa kukubali ndo ishu! ngoja niwasiliane na SHY mtaalamu wa IT wa FMES!
 
Baharia ameingia mkenge sasa kukubali ndo ishu! ngoja niwasiliane na SHY mtaalamu wa IT wa FMES!
unajua hawa mabaharia tangu zamani wanaingia mkenge.....walikufa sana baharini na kutigoishwa na wagiriki.....waliambiwa majuu life ni bwelele wakazamia meli.......
 
unajua hawa mabaharia tangu zamani wanaingia mkenge.....walikufa sana baharini na kutigoishwa na wagiriki.....waliambiwa majuu life ni bwelele wakazamia meli.......

Hilo liko wazi kuna mpwa wangu walimtosa kwenye ufuko wa Msumbiji!
 
Baharia ameingia mkenge sasa kukubali ndo ishu! ngoja niwasiliane na SHY mtaalamu wa IT wa FMES!

Thubutu....baharia mjuaji wa vyote, aingie mkenge then aje ajiseme hapa...Lol....! Dizaini atazuga zuga kiaina mpaka topic hii isahaulike......! bt naona mkuu unaifufua kila mara...!
 
Thubutu....baharia mjuaji wa vyote, aingie mkenge then aje ajiseme hapa...Lol....! Dizaini atazuga zuga kiaina mpaka topic hii isahaulike......! bt naona mkuu unaifufua kila mara...!

Hii nitakuwa naifufua hata akisema wale 3 wamepata kazi Shy ataweka ukweli.... that was pathetic baadaye akakwepa ooohh watu wanapersonal na mimi kwasababu nakata issue za CCM hahahahaha nilicheka sana ! Ile post ya Mwalinga na Kyela naona mods wameificha hahahahah
 
Shy naye kwanini hajacomeback tangie apewe kile kibarua na Baharia?

Halafu mkuu kule kwa Dr. na Joji naona mzee uliwakomalia mpaka wakakuta secretary Shalom.....ha!ha!ha! nicheka sana aiseee!
 
hivi na nyie mnaaminigi research za specialist shy?
 
Unajua wale washikaji walitegemea kupewa taulo hapa na sababu zao za kitoto, walikuwa wanabadili ID wanatukana nawapa thanks...wakaona duuu huyu mzee wa Texas ni secretary na ujinga kama huo....mzee nani hii akaja na ID ya Samwel......nikakomaa na wazee wengine ikabidi thread ihamishiwe mafichoni....

NimeMP Shy aje na ufafanuzi...
 
Mods mbona mnakubali hizi mada za kitapeli kuwekwa hapa jamvini au mpaka msikie kelele za watu waliolizwa!! Kila mtu anajua huu ni wizi (hata nyinyi Mods mnajua) na research zinaonyesha hivyo!! Mimi sijawahi kusikia kazi ambayo unalipa fee in advance!!Wapi?

Mimi nilikuwa najua hapa ni "The Home of Great Thinkers" ..PLS KEEP IT THAT WAY!!
 
Last edited:

Hello,
Asante sana kwa ujumbe wako.
Lakini hizi connection nyingi zinakuwaga za kitapeli,kuna mwaka nazani 2006 kuna madereva waliandikishwa ili wakafanye kazi UAE wakalipishwa dola 100 kila mmoja nawalikuwa kama 75 wakatapeliwa wote.

kama vipi ichunie tu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…