Hahaaa!!! Mambo ya kurushwa picha zetu pia tuyazingatie haswaa!! TwawaogopaaaKwa niaba ya wafunga pm nasema tumesikitishwa sana na 7800, hivyo pm zetu zitafungwa mpaka kikao cha maamuzi kitakapofikia makubaliano!!
Hiyo ni agenda namba moja ya kikao chetu dear...Hahaaa!!! Mambo ya kurushwa picha zetu pia tuyazingatie haswaa!! Twawaogopaaa
Nashukuru kusikia hiloSijambo mimi pia
Kwa niaba ya mwenyekiti, naomba nitowe rai na pole kwa wale wote walio jeruhiwa na swala la picha.
Pili nipende kusema kwamba jf inaonekana kuvamiwa na vijana wasio na adabu na wasio na hekma hata kidogo, hali iliyo pelekea kukosa staha na kufanya mambo ya ajabu tena yenye kuitweza jinsia yetu.
Binafsi naamini wengi wapo humu wanao fahamiana, na pia kutofautiana ni jambo LA kawaida hata huku kwenye familia zetu, sasa linapo kuja swala la utashi, pengine hata inapo tokea kijana akamtongoza mdada humu na kisha kijana huyo ikitokea amekataliwa basi isiwe nongwa maana unapo zoza kuna kukubaliwa ama kukataliwa.
Kuanika picha ya mtu humu pasipo ridhaa yake, hilo ni jambo baya tena baya sana
Sisitiza katibu, mjumbe wetu alikuwa mgonjwa pia. Kazia hela ya matibabu
Hahaha asante mkuu. .pole na wewe piaPole na majukumu
Hahaha.!!
Watatusuuza Leo tu sababu tumeandamana after 1 week wanakuwa washasahau wanarudi kwenye 7,800/=..!!
Tumeumizwa sana na 7800
Karibu tenaNashukuru kusikia hilo
Kama kuna mbavu za Mbuzi ama Kuku Choma mzima.... Piga.... Bili kwangu
Tumeshatuma ebu fanya kutuma basi
Hizi kona za kulazimisha bana, 7800?Vumilieni tu ..ndio maisha. .hakuna barabara Isiyo na corner
Nimepoa mimi jamaniHahaha asante mkuu. .pole na wewe pia
Nishamtumia saizi anakunywa supu ya kuku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Acha ubahili we mpare usipate sababu ebu tuma huko
Hawakawii kutuma 7800[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tumekazia hivi bado hawajatumaa tu
EeehhhNishamtumia saizi anakunywa supu ya kuku
Hahah 7800...Halafu upo ugenini. ..Hapo lazima uji hisi upo milembeHizi kona za kulazimisha bana, 7800?
Mpwa za miaka aisee....
Nipigie debe na mimi ningoe kifaa humu ndani...Sitanii namaanisha Tokea nijiunge JF miaka kibao imepita sijawahi ona hata msg PM