Tangazo muhimu kwa wanachama wa Chit-chat.

Kwa ruhusa ya mwenyekiti naomba kuchomeka hapohapo.... Kuwa suala la picha limekuwa suala mtambuka na serikali ya awamu inalifuatilia kwa ukaribu ili kuweza kuleta maendeleo endelevu kwa watanzania wanyonge wanaoteswa na mabeberu ya picha hapa Jf....narudisha kipaza sauti meza kuu.....waweze kuendelea mwenyekiti
 
Kwa niaba ya wafunga pm nasema tumesikitishwa sana na 7800, hivyo pm zetu zitafungwa mpaka kikao cha maamuzi kitakapofikia makubaliano!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Safi kabisa
 
Naomba niseme tu kwamba pm zetu zitaendelea kufungwa, mpaka mtakapokuwa na adabu
 
Daah I miss those old days.. Bora Daby umerudi kuchangamsha jukwaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…