Ndugu wajumbe. .kutokana na idadi ya wanachama wengi wanaochomoa betri kuongeza. .sisi wajumbe wengine ambao bado hatuja kumbana na hiyo kadhia
Tumeamua kuwa wapenzi watazamaji kwanza. .Mpaka pale Ambapo tutakuwa tumejidhihirishia kwamba Upepo wa kuchomoa ma-betri umetulia. ....
Naomba niwe muwazi hapa. .hakuna thread iliyo nitia hofu kama ile ya yule mjumbe aliye sema kwamba mpenzi wake alikuwa ana muomba ushauri 'kwamba akubali kuchukua mkoba wa uganga toka kwa babu yake au la? .... Awali nilikuwa sijui kwamba hapa Jf Kuna wajumbe wengine ni manyau nyau
Kwako @zeshcriss