Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani tena huyoKuna mtu nimeona kalike [emoji2]
Fanya kweli basi acha kugunagunaMmmhhh
Usikute yupo kwa I'd yake nyingine anakuchora tu[emoji3][emoji3][emoji3] mimi mwenyewe nimemis sana mbebe wangu yule, sijui hata alipo
MmmhhhItabidi niweke uzi wakumtafuta..usikute mwenzetu alishatutoka
Tutaweka namba za wakala hapaSasa si inabidi fidia itumwe
Wewe mwambie sitamtelekeza sana,zile zilikuwa hekaheka tu za kusaka notiShida yako unapoteaa sana jamani
Habari za chini chini mwenyekiti wao ni yule wa 7800Sasa Katibu mw. Kiti wa chama mbona haujamtaja mama Katibu?
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Ulivyo nifungia PM ulidhani nitakosa eehhh...!!??
NakaziaaaaAkhuu wewe sasa hivi jf imekuharibu umekuwa unaenda sawa na wachomoa betri wa jf
Jino linauma katibuMmmmh.
Punguza sautiAnaumwa huyo akizidiwa mm ndio napata shida na nilimwambia unaumwa hivi nitakuona uko jf unazurula na kubebishana
Aisee,wala mie nipo vilevile sijabadilika hata kidogo.Akhuu wewe sasa hivi jf imekuharibu umekuwa unaenda sawa na wachomoa betri wa jf
Wewe ulikuwa busy bana asa ningechat na naniiiKwahiyo kama kawaida na kuzurula kwako jf ukizidiwa unisumbue mimi
Funga pmKwahiyo unanishaurije eti
Naunga mkono hojaHuyo mm simuwezi sasa hivi