Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Imi ni mpole
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe una mbwai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe una mbwai
[emoji134][emoji134][emoji134] Huu ubonge na weusi mangala wangu usiniambie nimebadilika zaidi ya hapa
Labdaa ila sidhani...tungeshajua mwandiko wakeUsikute yupo kwa I'd yake nyingine anakuchora tu
Imefika???Tumeshatuma ebu fanya kutuma basi
manengelo nakutafuta bibie
😂😂😂Lakini kuweka 7800 mezani sio sawa
Abee[emoji23][emoji23] na Sakayo sweet manka na wengineo wengi
Kauli mbiuNimebisha hodi nimekuta kufuli
Umekuwa mkorofi sanaHahahaha
Hahahaha
Kwa niaba ya wafunga pm nasema tumesikitishwa sana na 7800, hivyo pm zetu zitafungwa mpaka kikao cha maamuzi kitakapofikia makubaliano!!
Mh. Mwenyekiti kutokana na agenda tajwa hapo juu napenda kuwasilisha hoja ya kuhuzunisha kuwa 'couple za mafichoni ni nyingi sana na hazina idadi na hizi hufahamika tu pale muhusika mmojawapo akichomoa betri'. !!
Hahaha hahaha 7800 .dahh !!! Ha handugu Mwenyekiti mjumbe yule wa 7800
Kafanya wote tukose sababu yake na mwenza wake.
Tufanyaje??