Tangazo muhimu kwa wanachama wa Chit-chat.

Tangazo muhimu kwa wanachama wa Chit-chat.

Yani ukizidisha kuwa kibonge zaidi ya hapo utaharibu,alafu napenda huo weusi wako,usiweke mkorogo basi mamaaa.
[emoji134][emoji134][emoji134] Huu ubonge na weusi mangala wangu usiniambie nimebadilika zaidi ya hapa
 
Hahaha hahahaha
Mh. Mwenyekiti kutokana na agenda tajwa hapo juu napenda kuwasilisha hoja ya kuhuzunisha kuwa 'couple za mafichoni ni nyingi sana na hazina idadi na hizi hufahamika tu pale muhusika mmojawapo akichomoa betri'. !!
 
Ndugu wajumbe. .kutokana na idadi ya wanachama wengi wanaochomoa betri kuongeza. .sisi wajumbe wengine ambao bado hatuja kumbana na hiyo kadhia

Tumeamua kuwa wapenzi watazamaji kwanza. .Mpaka pale Ambapo tutakuwa tumejidhihirishia kwamba Upepo wa kuchomoa ma-betri umetulia. ....


Naomba niwe muwazi hapa. .hakuna thread iliyo nitia hofu kama ile ya yule mjumbe aliye sema kwamba mpenzi wake alikuwa ana muomba ushauri 'kwamba akubali kuchukua mkoba wa uganga toka kwa babu yake au la? .... Awali nilikuwa sijui kwamba hapa Jf Kuna wajumbe wengine ni manyau nyau

Kwako @zeshcriss
 
Back
Top Bottom