Tangazo muhimu kwa wanachama wa Chit-chat.

Ndugu wajumbe. .kutokana na idadi ya wanachama wengi wanaochomoa betri kuongeza. .sisi wajumbe wengine ambao bado hatuja kumbana na hiyo kadhia

Tumeamua kuwa wapenzi watazamaji kwanza. .Mpaka pale Ambapo tutakuwa tumejidhihirishia kwamba Upepo wa kuchomoa ma-betri umetulia. ....

Naomba niwe muwazi hapa. .hakuna thread iliyo nitia hofu kama ile ya yule mjumbe aliye sema kwamba mpenzi wake alikuwa ana muomba ushauri 'kwamba akubali kuchukua mkoba wa uganga toka kwa babu yake au la? .... Awali nilikuwa sijui kwamba hapa Jf Kuna wajumbe wengine ni manyau nyau

Kwako @zeshcriss
Eti manyau nyau!!
 
Mh. Mwenyekiti kutokana na agenda tajwa hapo juu napenda kuwasilisha hoja ya kuhuzunisha kuwa 'couple za mafichoni ni nyingi sana na hazina idadi na hizi hufahamika tu pale muhusika mmojawapo akichomoa betri'. !!
Kwa ruhusa/rukusa ya mwenyekiti Ametufungulia njia nipo njiani kuja pm sasa na wewe nipe ruhusa/rukusa nikuje hukoooooo
 
Njoo na passport size 3, barua toka kwa kiongozi wako wa mtaa, ID na No yako ya NIDA..
you're warmly welcome and enjoy your stay..!!
 
nakutana na picha nakutana na picha

mpenzi wangu Demis sijui Kapotelea wapi?
Yuko na ID mpya muda si mrefu atakuja mada zile zile[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Ndugu wajumbe. .kutokana na idadi ya wanachama wengi wanaochomoa betri kuongeza. .sisi wajumbe wengine ambao bado hatuja kumbana na hiyo kadhia

Tumeamua kuwa wapenzi watazamaji kwanza. .Mpaka pale Ambapo tutakuwa tumejidhihirishia kwamba Upepo wa kuchomoa ma-betri umetulia. ....

Naomba niwe muwazi hapa. .hakuna thread iliyo nitia hofu kama ile ya yule mjumbe aliye sema kwamba mpenzi wake alikuwa ana muomba ushauri 'kwamba akubali kuchukua mkoba wa uganga toka kwa babu yake au la? .... Awali nilikuwa sijui kwamba hapa Jf Kuna wajumbe wengine ni manyau nyau

Kwako @zeshcriss
Wajumbe wengi wako upande wa mshana jr
 
Ndugu mjumbe. .unalizungumziaje suala la mjumbe mwenzenu kuwa na tuhuma za ufupi ulio mkakamavu?
Hizo ni tuhuma tuu bado hazijathibitishwa rasmi! Lakini pamoja na tuhuma hizo mjumbe wenu aliweza kulala nae shuka moja mpaka saa kumi na moja asubuhi!

Tumehuzunishwa sana na 7800 aliyoitelekeza juu ya meza!
 
Hahaha mjumbe wetu alikuwa hana namna. .zaidi ya kufidia nauli yake
 
Yaan
Hizo ni tuhuma tuu bado hazijathibitishwa rasmi! Lakini pamoja na tuhuma hizo mjumbe wenu aliweza kulala nae shuka moja mpaka saa kumi na moja asubuhi!

Tumehuzunishwa sana na 7800 aliyoitelekeza juu ya meza!

Yaani nimepitwa na vituko vya humu. .hata sielewi kinachoendelea
 
Njoo na passport size 3, barua toka kwa kiongozi wako wa mtaa, ID na No yako ya NIDA..
you're warmly welcome and enjoy your stay..!!
Sawa nakuja sema usitumie sana ingilishi ada kidogo ilikua shida sikuenda sikuli .
 
Mh. Mwenyekiti kutokana na agenda tajwa hapo juu napenda kuwasilisha hoja ya kuhuzunisha kuwa 'couple za mafichoni ni nyingi sana na hazina idadi na hizi hufahamika tu pale muhusika mmojawapo akichomoa betri'. !!
Kuchomoa betri kienyeji ni mambo ya kishamba ndugu mjumbe.
 
Back
Top Bottom