Tangazo: Nauza na Kukodisha Nguo za Harusi

Tangazo: Nauza na Kukodisha Nguo za Harusi

Paloma ndiye aliyekuwa mteja wangu wa kwanza hapa CC kupata huduma kutoka kwetu wakati wa ndoa yake na sosoliso, na hii ni picha aliyoomba nishee nanyi

slider-Paloma-May-2013.jpg
 
Last edited by a moderator:
Mashallah kama hizo?
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1369907548977.jpg
    uploadfromtaptalk1369907548977.jpg
    65.4 KB · Views: 51
watu8 utuletee na zile za kutimiza jubilei za miaka..........ya ndoa zetu!!
wakati huo tukiwa tayari na vitambi............
 
Last edited by a moderator:
mm nimeshaolewa waambie wengine wanaohitaji asante bestito
bridal-store.jpg


Ndugu wana CC,
Kutokana na kushamiri kwa watu kuchumbiana na kuona hapa jamvini, nami pasi hiyana napenda kuwatangazia kuwa nauza na kukodisha nguo, viatu na vikorombwezo vyote muhimu vya maharusi...
Zaidi familia yangu ya watu8 inamiliki saluni nzuri za kike na kiume (yaani hapa ni full manikyua, pedikyua, maenjo fesi, tunapaka mapouda, kutinda nyusi, faundesheni kwa kila rangi n.k).
Vilevile familia inamiliki kampuni ya kukodisha magari (hapa namaanisha everyone's dream car)...
Pia tuna ukumbi wa sherehe uliopo pembezoni mwa bahari ya Hindi...

NB:
Hata msio na uwezo wa kununua pete, zipo za kukodi....
Karibuni!!


CC: measkron, charminglady, WiseLady, sweetlady, Passion Lady, Mrembo by Nature, ladyfurahia na wanafamilia wengineo
 
Back
Top Bottom