Tangazo: Nauza na Kukodisha Nguo za Harusi

Tangazo: Nauza na Kukodisha Nguo za Harusi

shikamoo dady!!!
kweli kabisa kwa ulichofikiria
ndoa ni nyingi sana,familia tukiongea vizuri
na Baba V,tukampatia takrima ndoa zote, mavazi
na kila kitu vitoke ktk miradi yetu,basi tutapata faida kwa muda mfupi!!
u ar a great thinker dady!!

 
Last edited by a moderator:
watu8 we creative sana, tena hawa wanaoolewa kwa mafungu watakufaidisha sana.

Wapambe hatutakosa za nvinyo eti?

Mwaka huu inabidi kuwaza kibiashara zaidi...tunataka tushuhudie harusi humu sio watu wanabebana tu...

Na mvinyo wenyewe huo hapo...

800px-French_taste_of_wines.JPG
 
Last edited by a moderator:
Mradi wa familia yetu huu, mje mtuungishe mikono iende kinywani. Chezeya biashara bila wateja
 
watu8 utuletee na zile za kutimiza jubilei za miaka..........ya ndoa zetu!!
wakati huo tukiwa tayari na vitambi............

magauni mengine ya harusi yawe kama madira kwa kuwa wafunga ndoa woooooote humu cc ni wajawazito ........ ni ushauri tu,

Kuna fundi maalumu wa kuwashonea na kupimisha vipimo kwa wale wote ambao tumbo kwisha anza tangulia mbele...
 
Last edited by a moderator:
yaani nimesoma commemt yako nikaanza kusinzia, it means nimechoka ghafla kabla haujaanza kunichosha rudi huko huko kwa mkeo... Mi mwenyewe nataka kugharamikiwa
Ndo ujiulize kwanini mwenzako ampaka anataka kupigana
ndo umjulishe mapema mi nilivo, kipigo changu heavy we mwenyewe shahidi mpenzi!!!!!!
Evelyn Salt mwambie mwenzio ulikuwaga unanipendea nini ?

Unashabikia ujinga wa kina manoah??? mwenzio akili imesha mkaa vizuri, Don't dance and me(usicheze na mimi)
ndo hivyo yavijana waachie wenyewe
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom