Lady doctortukikatwa mapembe tutaishije mjini?
Halafu we nakumind...... nasubiri ndoa yako ivunjike tu uwe mshika pembe wangu
tukikatwa mapembe tutaishije mjini?
Halafu we nakumind...... nasubiri ndoa yako ivunjike tu uwe mshika pembe wangu
thijambo...! Thikamooo baabaa...!!
huruhusiwi !! huyo ni mwanafunzi utafungwa.Marahaba, hivi kukumiss ruksa??
We kichumvichumvi mbona hukuja ofisini? hauko siriasi???Nakucheki tu....utasubiri saaaana!!!!!
Wewe acha hizo, kwani mwanafunzi kumisiwa na mwenyekiti vibaya?huruhusiwi !! huyo ni mwanafunzi utafungwa.
wewe mcheki tu ila ugomvi sitakiNakucheki tu....utasubiri saaaana!!!!!
We kichumvichumvi mbona hukuja ofisini? hauko siriasi???
wewe mcheki tu ila ugomvi sitaki
mbona wazee wenzako akina Mamndenyi huwamisi?? kumbe manoah na ummu kulthum walikuwa na haki kabisa ya kukutaifisha kiti chako.Wewe acha hizo, kwani mwanafunzi kumisiwa na mwenyekiti vibaya?
mbona wazee wenzako akina Mamndenyi huwamisi?? kumbe manoah na ummu kulthum walikuwa na haki kabisa ya kukutaifisha kiti chako.
tukikatwa mapembe tutaishije mjini?
Halafu we nakumind...... nasubiri ndoa yako ivunjike tu uwe mshika pembe wangu
Ndugu wana CC,
Kutokana na kushamiri kwa watu kuchumbiana na kuona hapa jamvini, nami pasi hiyana napenda kuwatangazia kuwa nauza na kukodisha nguo, viatu na vikorombwezo vyote muhimu vya maharusi...
Zaidi familia yangu ya watu8 inamiliki saluni nzuri za kike na kiume (yaani hapa ni full manikyua, pedikyua, maenjo fesi, tunapaka mapouda, kutinda nyusi, faundesheni kwa kila rangi n.k).
Vilevile familia inamiliki kampuni ya kukodisha magari (hapa namaanisha everyone's dream car)...
Pia tuna ukumbi wa sherehe uliopo pembezoni mwa bahari ya Hindi...
NB:
Hata msio na uwezo wa kununua pete, zipo za kukodi....
Karibuni!!
CC: measkron, charminglady, WiseLady, sweetlady, Passion Lady, Mrembo by Nature, ladyfurahia na wanafamilia wengineo
mbona wazee wenzako akina Mamndenyi huwamisi?? kumbe manoah na ummu kulthum walikuwa na haki kabisa ya kukutaifisha kiti chako.