Tangazo: Nauza na Kukodisha Nguo za Harusi

wow !!! usiniambie !! yaani kuonja tu tayari na kichefchef ok nambie jioni nikuletee nini ?limao,pemba udongo au chps kuku ?

kaah!! Yaani kulala ulale na mwingine mimba nipate mie....., majangaaaa..., majangaaa... Mbona majangaaaa!!!!!
 
kaah!! Yaani kulala ulale na mwingine mimba nipate mie....., majangaaaa..., majangaaa... Mbona majangaaaa!!!!!

unajikosha kwa Chimbuvu ? wewe sema ukweli tu hana noma jamaa yangu
 
Last edited by a moderator:
Usiseme hivyo kabisa maana wife wangu marejesho atakufanya hamna! We njoo nikukague ili usiishi kama mkimbizi humu!

mnataka niishi kama mwenyeji ili ni banduliwe......? Aakaah..!!!! Mi staki.... Bora niishi hivihivi ninavyoishi... Kukaguliwa mh..mh..! Ata staki mwenzio... Halafu usiniambie tena maswala ya kukaguliwa humu!!
 
Last edited by a moderator:
kama vile najisikia kutamka kitu kwa.........................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…