Tangazo toka kwa mwenyekiti manoah.

Judgement ! Baba V kakupa shilingi ngapi?

 
Last edited by a moderator:
ah aha ah! madili yako yote yatakwama, hutapalilia na majani yakaisha... na mafuriko kamwe hayatatokea

Ngoja nimsaidie tu mawazo, anaweza akaanzisha kamati ya watoto wa kiume wa Chitchat ambao bado wanaishi kwa wazazi wao
 
mama usihofu sana ngoja nikae kimjini mjini zaidi utaona matunda ya mwanao....kuna watu wananione wivu kua na wamama wazuri wazuri only...

kuna wivu na mama tena
hivi kwanini haujanipa tena hela ya matumizi jamani.
 
sawa,
lakini hakuna mama mubaya
si unajua mama ni mama tu

na kwanini haukunipa tena jina la yule
jamaa yako ya kukuletea mzigo ukaacha hadi nikautumia tena
mama usihofu sana ngoja nikae kimjini mjini zaidi utaona matunda ya mwanao....kuna watu wananione wivu kua na wamama wazuri wazuri only...
 
ha ha ha nitonye.. na wanasema vle vle kwamba ngoja ngoja yaumiza matumbo..
 
Last edited by a moderator:
nimekuwekea 'like'
na nyingine pia hiyo hapo juu ichukue.


woooww!!! nimeipenda hiyo ya kwa juuu mamitoooooo
upo juu kama muashok!!!
love mingi to you everyday of your life!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…