SafiHatari sana
Baraza la wauguzi na wakunga TNMC la Tangaza kufuta kwenye daftari la usajili, wauguzi wasiokuwa na lesseni zilizohuhishwa na kukoswa kazi ndani na nje ya nchi.
Hayo yametanganzwa na Agnes Mtawa, Msajili wa Wauguzi TNMC
Hiii kada bana huwa wanamaamuzi magumu sana lakini utekelezaji wake na utendaji ndio unashangaza maana kwa mfano mtu unataka awe analipia leseni kila mwaka na mtu huyo ajapata ajira yupo mtaani na hakawai kuitumia leseni yake sasa hii inakua kulipia kitu ambacho haukifanyii kazi kama utawafungia leseni waliopo makazinj sawa waangalie upamde wa pili piaHizi ndizo baadhi ya utitiri wa kodi za ovyo ambazo Mh. raisi amekuwa akizisema na kuzifuta. Eti muuguzi ambaye mshahara wake kwa mwezi unalingana na posho ya kikao kimoja cha masaa manne cha mbunge, analazimika kulipa ada ya leseni ya uuguzi sh. 100000 kila mwaka. Kwa daktari ni sh 250000 kila mwaka! Yaani ni zaidi ya leseni ya udreva wa semi traila ambayo ni sh. 40,000 kila baada ya miaka mitano.
Huu uonevu nadhani JPM bado hajauona.
Hahaha ni zaidi maana kazi zake zenyewe ni hatari na bado unatakiwa na malesenj uyalipie hata kama huna kazi unatakiwa ulipie hapo ndo utakapojua mwenye nacho ataongezewaKweli kabisa
That is bad hizo cost zinatakiwa kubebwa na mwajiri be it the whole thing doesn’t make sense.Hizi ndizo baadhi ya utitiri wa kodi za ovyo ambazo Mh. raisi amekuwa akizisema na kuzifuta. Eti muuguzi ambaye mshahara wake kwa mwezi unalingana na posho ya kikao kimoja cha masaa manne cha mbunge, analazimika kulipa ada ya leseni ya uuguzi sh. 100000 kila mwaka. Kwa daktari ni sh 250000 kila mwaka! Yaani ni zaidi ya leseni ya udreva wa semi traila ambayo ni sh. 40,000 kila baada ya miaka mitano.
Huu uonevu nadhani JPM bado hajauona.
Bollocks!Baraza la wauguzi na wakunga TNMC la Tangaza kufuta kwenye daftari la usajili, wauguzi wasiokuwa na lesseni zilizohuhishwa na kukoswa kazi ndani na nje ya nchi.
Hayo yametanganzwa na Agnes Mtawa, Msajili wa Wauguzi TNMC
Kweli kabisaThat is bad hizo cost zinatakiwa kubebwa na mwajiri be it the whole thing doesn’t make sense.
Isitoshe kwenye utoaji wa huduma wa afya ‘vicarious liability’ inawekwa kwa organisation inayotoa huduma at least kwenye health systems za wenzetu.
Ivyo ni jukumu la wizara na taasisi zilizowaajiri kuakikisha kama kuna umuhimu wa skills update; gharama zozote za training wanabeba wao na malipo mengine yoyote.
Hii wizara inahitaji overhaul jinsi mambo yanavyofanyika. Ummy Mwalimu ni waziri wa Magufuli hila sio wa wizara; hii sector ni complicated kwa uwezo wake kuisimamia ukizingatia so much needs to change.