Hao kila baada ya mwaka 1 au miaka 2 wanatakiwa kurenew leseni na kwa kulipa ada ya ambayo ni kati ya shiling 60,000 mpaka 70,000 na wasio na leseni huwa kuna mtihan unaoandaliwa na baraza la ukungaKwa aliyesoma. Mchawi ada au in wanatakiwa kufanya interview upya ndio wapewe tena leseni?
Hizo leseni mpya walipie tu. Na haya yote wameyataka wenyewe. Nilisikia hata walimu nao eti wanataka kutengeneza professional organization ili wawe na leseni zao za kuwatambulisha ili kuwazuia watu ambao hawajasomea ualimu kuingilia ajira zao.Baraza la wauguzi na wakunga TNMC la Tangaza kufuta kwenye daftari la usajili, wauguzi wasiokuwa na lesseni zilizohuhishwa na kukoswa kazi ndani na nje ya nchi.
Hayo yametanganzwa na Agnes Mtawa, Msajili wa Wauguzi TNMC
Wazo zuri wangekomaa mpaka walipie kuliko kuwafutia usajili watu wanaokomaa na vidonda, covid 19 wapo harafu wakifa ni kiapo, likitokea janga wanawekwa mbele wakati mabosi wao wanakula viyoyozi kwenye ofisi, ingewezekana hata serikali ingewalipia lesseni kazi za hawa watu ni za hatari sana, wengi wanakufa kwa kazi zzaoHizo leseni mpya walipie tu. Na haya yote wameyataka wenyewe. Nilisikia hata walimu nao eti wanataka kutengeneza professional organization ili wawe na leseni zao za kuwatambulisha ili kuwazuia watu ambao hawajasomea ualimu kuingilia ajira zao.
Hizo wanatakiwa walipie wenyewe, mkuu.Wazo zuri wangekomaa mpaka walipie kuliko kuwafutia usajili watu wanaokomaa na vidonda, covid 19 wapo harafu wakifa ni kiapo, likitokea janga wanawekwa mbele wakati mabosi wao wanakula viyoyozi kwenye ofisi, ingewezekana hata serikali ingewalipia lesseni kazi za hawa watu ni za hatari sana, wengi wanakufa kwa kazi zzao
Sh ngapi mkuu, kuna dogo hapa kitaa ana kadiploma ka hiyo kada na nimwajiliwa pale BMC anatutambia sana ambao hatujapata vibarua rasmi. Huwa natamani sana kujua mpunga anaovuta!Hiii kada bana huwa wanamaamuzi magumu sana lakini utekelezaji wake na utendaji ndio unashangaza maana kwa mfano mtu unataka awe analipia leseni kila mwaka na mtu huyo ajapata ajira yupo mtaani na hakawai kuitumia leseni yake sasa hii inakua kulipia kitu ambacho haukifanyii kazi kama utawafungia leseni waliopo makazinj sawa waangalie upamde wa pili pia
Hii kada kazi zake ngumu lakini mishahara sasa ndo utafurahiii
Ndg hizo gharama za leseni ni deal za watu ambao wanajipa vyeo vya msajili nk. Lengo la leseni ni zuri tatizo ni hizo gharama kuwa kubwa sana. Ukienda wizara ya afya utakuta wamejipa kijiofisi na wameacha majukumu ya uuguzi wanatumia hizo fedha kujilipa tuvikao na tusafari twa hapa na pale. Unapokuwa unafanya kazi hospitali gharama ya kumuona daktari inaingia kwa mwajiri na sio kwako wewe subiri mshahara wako basi. Huu ni unyonyaji skweaIla kuna hospitali kumuona tu dakitari ni shailingi 50,000/=angalau zingine ni 12,000/= na zingine za rahisi ni angalau 4,000/= kwa kichwa sasa akipata vichwa 10 tu kwa siku mbona ni hela mingi tu?
Ni kweli mkuuNdg hizo gharama za leseni ni deal za watu ambao wanajipa vyeo vya msajili nk. Lengo la leseni ni zuri tatizo ni hizo gharama kuwa kubwa sana. Ukienda wizara ya afya utakuta wamejipa kijiofisi na wameacha majukumu ya uuguzi wanatumia hizo fedha kujilipa tuvikao na tusafari twa hapa na pale. Unapokuwa unafanya kazi hospitali gharama ya kumuona daktari inaingia kwa mwajiri na sio kwako wewe subiri mshahara wako basi. Huu ni unyonyaji skwea
Hii roho mbaya sasaSh ngapi mkuu, kuna dogo hapa kitaa ana kadiploma ka hiyo kada na nimwajiliwa pale BMC anatutambia sana ambao hatujapata vibarua rasmi. Huwa natamani sana kujua mpunga anaovuta!
Mwenye roho mbaya ni nani sasa, anaetambia wenzake kuwa ana uwezo au mwenye kutaka kujua mtambaji ana uwezo kiasi gani?Hii roho mbaya sasa
Mwajiri ndio hulipia hizo leseni tatito lako nini? kwani unatoa mfukoni mwako?Hizi ndizo baadhi ya utitiri wa kodi za ovyo ambazo Mh. raisi amekuwa akizisema na kuzifuta. Eti muuguzi ambaye mshahara wake kwa mwezi unalingana na posho ya kikao kimoja cha masaa manne cha mbunge, analazimika kulipa ada ya leseni ya uuguzi sh. 100000 kila mwaka. Kwa daktari ni sh 250000 kila mwaka! Yaani ni zaidi ya leseni ya udreva wa semi traila ambayo ni sh. 40,000 kila baada ya miaka mitano.
Huu uonevu nadhani JPM bado hajauona.
Nani kakwambia zinalipwa na mwajiri? Usijiingize kwa mambo ambayo huyajui.Mwajiri ndio hulipia hizo leseni tatito lako nini? kwani unatoa mfukoni mwako?