Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Yaani nilikuaga nikitongoza demu lazima anichomolee Sasa hivi nimeanza mazoezi kitambi kimetoka napiga pamba Kali aisee huwezi amini wakuu mpaka wake za watu wananishobokea nilikua najiona na gundu kumbe ilikua kitu kidogo sana halafu nilichogundua wazee ukimfata demu akiwa na wenzake utoboi utakula matusi kama huwezi kujizuia utaishia kumzibua mwisho wa siku ukale maharage yaliyooza hapa kwenyewe
Msiniambie habari ya kutafuta hela Mimi sijapoteza pesa wazee siwezi kutafuta kitu ambacho sijakipoteza
Msiniambie habari ya kutafuta hela Mimi sijapoteza pesa wazee siwezi kutafuta kitu ambacho sijakipoteza