Tangia nianze mazoezi na kupiga pamba Kali nguo zinanikaa naona mademu wananishobokea sana

Tangia nianze mazoezi na kupiga pamba Kali nguo zinanikaa naona mademu wananishobokea sana

Usifuturu kwa mihogo au magimbi ,hizi ni futari jambazi..Ona mawazo ya kitoto shekhe wangu.
 
Yaani nilikuaga nikitongoza demu lazima anichomolee Sasa hivi nimeanza mazoezi kitambi kimetoka napiga pamba Kali aisee huwezi amini wakuu mpaka wake za watu wananishobokea nilikua najiona na gundu kumbe ilikua kitu kidogo sana halafu nilichogundua wazee ukimfata demu akiwa na wenzake utoboi utakula matusi kama huwezi kujizuia utaishia kumzibua mwisho wa siku ukale maharage yaliyooza hapa kwenyewe

Msiniambie habari ya kutafuta hela Mimi sijapoteza pesa wazee siwezi kutafuta kitu ambacho sijakipoteza
Mkuu nchi iko busy na ujenzi wa viwanda.
 
Umetumia law of attraction yaani ukitaka kupendwa jipende kwanza wewe mwenyewe!!
 
anzia hapa

1773628646960.png
 
Back
Top Bottom