Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Kweli mkuuDuhh! Kazi ipo
Shida nini winga mbona hasira tafuta kazi hapa Sasa hivi hupati mtu wote tunajua machimboHayo malonya ya kkoo?
Chunga sana pesa yakoYaani nilikuaga nikitongoza demu lazima anichomolee Sasa hivi nimeanza mazoezi kitambi kimetoka napiga pamba Kali aisee huwezi amini wakuu mpaka wake za watu wananishobokea nilikua najiona na gundu kumbe ilikua kitu kidogo sana halafu nilichogundua wazee ukimfata demu akiwa na wenzake utoboi utakuma matusi kama huwezi kujizuia utaishia kumzibua mwisho wa siku ukale maharage yaliyooza hapa kwenyewe
Msiniambie habari ya kutafuta hela Mimi sijapoteza pesa wazee siwezi kutafuta kitu ambacho sijakipoteza
Wanawake wanapenda vitu vizuri ikiwemo utanashati.Yaani nilikuaga nikitongoza demu lazima anichomolee Sasa hivi nimeanza mazoezi kitambi kimetoka napiga pamba Kali aisee huwezi amini wakuu mpaka wake za watu wananishobokea nilikua najiona na gundu kumbe ilikua kitu kidogo sana halafu nilichogundua wazee ukimfata demu akiwa na wenzake utoboi utakuma matusi kama huwezi kujizuia utaishia kumzibua mwisho wa siku ukale maharage yaliyooza hapa kwenyewe
Msiniambie habari ya kutafuta hela Mimi sijapoteza pesa wazee siwezi kutafuta kitu ambacho sijakipoteza
ChaiGundu limeisha
kaka n kwel wanamatizowanaume wenye akili kubwa huwakwepa wanawake,we unaangaika kufanya mambo ili uwapate..duh!!rangi nyeusi ni takataka,uchafu na uovu