Tangu akamatwe Scorpion, Mshana Jr hajaonekana JF

Nimerejea kiongozi hata huko nilikokuwa hali pia ilikuwa tete nilikuwa kila wakati natamani kutupia lakini....
Mkuu hongera kwa kurejea..! Nilisikia eti ulikuwa kwenye kazi maalum ya kuzindika Bombardier zetu pendwa..! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahhahahaaaa
 
afadhali mshana umekuja! nilishaanza kupata kuumwa!![emoji85] [emoji85] [emoji8] [emoji7] [emoji8] [emoji7] [emoji8] [emoji7] [emoji8]
 
Back
Top Bottom