Acheni kupotosha mkuu Deception yupo hai na hivi majuzi nilimcheki WhatsApp kumpa hai, binafsi nilimuelewa sana na namshukuru Mungu kwa ajili yake kwani alinifumbua machoJamaa kilichomuua ni hofu na kutokukubali hali halisi,nilizaliwa na Ukimwi lakini ukiniona hata kunihisi huwezi
WEWE endelea kufa taratibu na hizo tiba za wazungu , wakai una uwezo wa kupona , nshashuhudia watu kadhaa wamepona hiokitu, by the way sio lazima watu wote wapone.Jamaa kilichomuua ni hofu na kutokukubali hali halisi,nilizaliwa na Ukimwi lakini ukiniona hata kunihisi huwezi
Walipona?WEWE endelea kufa taratibu na hizo tiba za wazungu , wakai una uwezo wa kupona , nshashuhudia watu kadhaa wamepona hiokitu, by the way sio lazima watu wote wapone.
Uzi wa kupona auNa mimi kuna siku nitaandika uzi humu tukijaliwa na subiri nitulie pirika tu nyingi.
Kupona au kutopona ni saikolojia yako tuUzi wa kupona au
Tia nyama kidogo mkuuKupona au kutopona ni saikolojia yako tu
Unauakika au unaleta povu lako hapaMkuu mbona deception alishakufa kitambo alikua ameadhirika na ngoma ni mwaka unaisha sasa
Jime moyo mkuu. Mda si mwingi utakiona chamtema kuniHuo uzi wake sijauona,ukimwi upo mkuu,wenye ukimwi tupo wengi tu mtaani,Arv kwa kiasi fulani zimesaidia mkuu
Tunakusubili kwa hamu sana mkuu. Tuletee nondo za maanaNa mimi kuna siku nitaandika uzi humu tukijaliwa na subiri nitulie pirika tu nyingi.
Tunakusubili kwa hamu sana mkuu. Tuletee nondo za maanaNa mimi kuna siku nitaandika uzi humu tukijaliwa na subiri nitulie pirika tu nyingi.
Mkuu Deception unapotosha umma.
Anza kwenda mtaani wewe. Anza na wizara ya Afya, kawaambie HIV virus ni fake. Waambie serikali inapoteza hela inapochangia kununua ARV.
Baada ya hapo nenda pale Muhimbili. Omba upewe rekodi za watoto wadogo waliozaliwa na akina mama wenye maambukizi ya HIV. Halafu wajibu hao madaktari kwanini watoto wengine wanazaliwa positive na wengine negative.
Halafu nenda kwenye clinic ya CTC chukua meza isimamie, chukua loud speaker waambie HIV virus ni fake.
Wewe ungekuwa ni mtaalam ungeachana na you tube, ujitike kwenye uchunguzi halafu uibuke na abstract.
So Naive.
Unaelewa maana ya ukimwi?Huo uzi wake sijauona,ukimwi upo mkuu,wenye ukimwi tupo wengi tu mtaani,Arv kwa kiasi fulani zimesaidia mkuu
We jamaa bado huelewi Kitu, hakuna binaadamu asie na ukimwi .Jamaa kilichomuua ni hofu na kutokukubali hali halisi,nilizaliwa na Ukimwi lakini ukiniona hata kunihisi huwezi
Makuku Rey, niliona mjadala hauendi popote.Hivi we jamaa bado upo?mbonà ulikuwa mgumu sana kuelewa?mi Leo ndo nauona huu mjadala lakin DECEPTION nmemnyoshea mikono,na Nina amini for what he is saying!!
naona opponents wake hamna facts bali mliishia kutokwa na povu!
Deception,popote ulipo ingawa sijasoma udaktar ila nmekukubali sana!
Kuna siku moja nilimuuliza Dokta mmoja pale rufaa Mbeya kuhusu UKIMWI,Nilitumia baadhi ya nondo zako,yule daktar aliniona MTU mwenye fikra nzito kwelikweli na mpaka Leo yule daktar ni rafk yangu!
Wewe jamaa ni kilaz.a sana na ninasikitika kama nchi tuna wataalam wa afya wenye fikra mfu kama zako, Tangu nimefuatilia mjadala huu sijaona hoja ya maana kutoka kwenu madaktari.Makuku Rey, niliona mjadala hauendi popote.
Deception anasema hakuna HIV, lakini mimi na mtu mwingine tukipima, mmoja wetu anakuwa positive. Hata apime mara ngapi, bado anakuwa positive.
Yeye Deception anakuambia hakuna kitu kama hicho.
Nikaona nabishana na mtu ambaye ameshaamua na hawezi kubadilika.
Sio group mkuuKama anagroup la whatsApp naomba unitumie namba yake pm mkuu