Tangu Deception aanze kampeni yake kuhusu UKIMWI, kuna yeyote humu ndani ambaye amemuamini?

Haijalishi uko wapi, unamfahamu kuwa Urusi mmambukizi ya HIV yanaongezeka kwa kasi kubwa
Sky Eclat, Mwanzoni mdau hapo juu amesema HIV ni fix, akaja tena akasema aeleweshwe HIV ni nini kwa kiswahili, akaja tena akasema Jangwa la Sahara ndiyo waathirika wengi. Hapo nimeshindwa kumwelewa.
 
Wanapima HIV positive au negative.
Tafadhalini nielewesheni hizo positive na negative ni nini .
Nifahamisheni kiundani ili nielewe.Tena kwa Kiswahili hata mie nilieishia la saba nielewe kiurahisi.
 
Sky Eclat, Mwanzoni mdau hapo juu amesema HIV ni fix, akaja tena akasema aeleweshwe HIV ni nini kwa kiswahili, akaja tena akasema Jangwa la Sahara ndiyo waathirika wengi. Hapo nimeshindwa kumwelewa.

Takwimu zenu nyie wakala wao na Wakubwa zenu huko dunia ya kwanza.
Swali nini huwa positve au negative katika vipimo vyenu.
Nielezeni kwa kiswahili mbona mnazunguka tu?
 
Takwimu zenu nyie wakala wao na Wakubwa zenu huko dunia ya kwanza.
Swali nini huwa positve au negative katika vipimo vyenu.
Nielezeni kwa kiswahili mbona mnazunguka tu?

Ujibiwe mara ngapi mkuu? sisi tunakuambia positive ana virusi na negative hana. Wewe unasemaje?
 
Waungwana yeyote anaye elewa nini huwa kichosemwa ni Negative au positive katika vipimo vya HIV.
Naomba anielezee kwa Kiswahili ili mimi na ndugu zangu hapa Kijijini petu tupate kuelewa.
 
Deception nakuelewa saanaaa.thanx kwa kutufungua macho.nawaona watu wanavyokurupuka eti deception kasema hakuna ukimwi wakati ni yeye ndio aliyesema bara la Africa hasa chini ya jangwa la sahara ndio tunaongoza kwa ukimwi duniani kutokana na umasikini wetu,lishe mbovu,huduma mbovu za tiba nk.
 

Wewe una Ukimwi?
 
Hakuna kitu kinachoitwa HIV duniani na kila mtu anaweza kupata AIDS cha msingi ni kutibu magonjwa husika na kuimalisha kinga ya Mwili mara kwa mara.
Safi sana .nimekuelewa
Hawa wakina cjui mkuyati na sweelove wanongea kama wamekariri
 
je kama hakuna HIV nini kinasababisha AIDS?
Kuporomoka kwa kinga ya mwili kunasababishwa na vitu vingi ikiwemo lishe mbovu ,magonjwa kama sugu kama TB,magonjwa ya zinaa kama kaswende ,gono,umasikini,nk
 
Namuelewa mkuu deception sana licha ya kuona
Kwa wengine binafsi nilishawahi kusex na mwanamke anae zaniwa kuwa ni muathirika baada ya mpezi wake wa kwanza kuonekana akitumia ARVs watu wa kwenye huo mtaa wakawa wanamuogopa huyo demu sasa mimi nilikua mgeni pale nikajisevia baada ya kukaa mda pale mtaani nikaja kugundua nikaenda kupima mara tatu sehemu tofauti nikawa sina na visa vya kusimuliwa vilivyo na utata kwenye huu ugonjwa so ni vyema ukaanza kwanza kuchunguza kabla ya kubisha
 
Kumbe unahubiri imani nilidhani unaongea fact
 
Mwanzo umeanza ukimwi sio ugonjwa mwisho umemaliza ugonjwa wa ukimwi
 
Chanzo cha kinga kupungua ni HIV pekeyake? Au kuna sababu nyingine zinaweza kupelekea upungufu wa kinga ya MTU(ukimwi)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…