Tangu Deception aanze kampeni yake kuhusu UKIMWI, kuna yeyote humu ndani ambaye amemuamini?

Safi sana .nimekuelewa
Hawa wakina cjui mkuyati na sweelove wanongea kama wamekariri
hahahaha Jipe moyo mkuu.

Jombaa akili za kuambiwa changanya na za kwako. Hii propaganda itawafanya vijana wakiafrika wafe. Watakakufa wote na wazungu watakuja kuirithi afrika.

Piga kavu, HIV hakuna. hahahaha
 
Unaona sasa unavyokua huelewi.huyo anayekutwa positive kimepimwa kirusi au imepimwa hali yake yani reaction ya mwili wake.kama kinga yako ina mushkiri lazima na askari wa mwili wako wamereact lazima ukutwe positive.
 
Hahahahaaa nimekuelewa sana wakina sir with love tunao wengi sana.hawa hata darasana sup zilikua hazichezi mbali nao
 
Hahahahaaa nimekuelewa sana wakina sir with love tunao wengi sana.hawa hata darasana sup zilikua hazichezi mbali nao

fogoh2, inawezekana sina uelewa mkubwa, lakini fuatilia maongezi yangu na chakochangu. Uniambie umeng'mua nini.
 
Chanzo cha kinga kupungua ni HIV pekeyake? Au kuna sababu nyingine zinaweza kupelekea upungufu wa kinga ya MTU(ukimwi)
HIV inaharibu kinga lakini mwili wa binadamu bila HIV una uwezo wa kupigana na maginjwa mengi.
Inawezekana ulishwahi kuwa exposed na TB lakini mwili uliweza kupigana kadhalika pneumonia.
 
Hey uje basi utuelezee kuhusu pia homa ya ini
Na kuhusu kansa
Tutashukuru sana
 
Kwa hiyo tusipime Ukimwi,pia ukipimwa ukimwi ukakutwa unao usithubutu kuchukua dawa,,utafanya nini,wape watu elimu ili waepukane na ARV
 
HIV inaharibu kinga lakini mwili wa binadamu bila HIV una uwezo wa kupigana na maginjwa mengi.
Inawezekana ukishwahi kuwa exposed na TB lakini mwili uliwekwa kupigana kadhalika pneumonia.
Kwahiyo bila HIV kinga ya mwili haiwezi kupungua
 
Unaona sasa unavyokua huelewi.huyo anayekutwa positive kimepimwa kirusi au imepimwa hali yake yani reaction ya mwili wake.kama kinga yako ina mushkiri lazima na askari wa mwili wako wamereact lazima ukutwe positive.

Mkuu naomba atleast uwe unadadavua kitu kabla ya kuingia kwenye mada.

SD Bioline au Unigold sio microscope, huwezi ukaona kirusi pale. Hii ni rapid Test. Kwanini ni rapid test. Setting za afya za Afrika na remote areas hakuna umeme wala microscope, wagunduzi wakakaa na kutengeneza kifaa kitakacho detect antibodies za HIV. Zamani kupima majibu ya HIV yalikuwa yanachukua hadi wiki kutoka, mteja anaondoka na kuja kuchukua majibu siku nyingine, lakini leo ni dakika 15 au zaidi.

Sasa kama wewe unataka kuona HIV virusi nenda maabara.

Ngoja nikuulize swali. Unapopima mama ujauzito, kwenye ile strip ya mkojo, unampima mtoto au detection ya ujauzito?
 
Kuna Virusi maelfu kwenye hii dunia. Kinga ya mwili itapungua kama askari wazuri watashindwa kuulinda mwili, hii haina maana hakuna HIV. Get it.
Kwahiyo askari wakishindwa kupambana na hao aina nyingine ya virusi nini kinatokea kwenye kinga ya huyo MTU?
 
Kwahiyo askari wakishindwa kupambana na hao aina nyingine ya virusi nini kinatokea kwenye kinga ya huyo MTU?
Kinga inashuka. Hili ndiyo jibu. Inashuka kwa kiasi gani? inategemea next actions, kama kuna tiba kwa huo ugonjwa well and good, kinga itarudi juu.

Hii haina maana hakuna HIV. Get it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…