Tangu Deception aanze kampeni yake kuhusu UKIMWI, kuna yeyote humu ndani ambaye amemuamini?

Imawezekana kweli yeye hata akichoma sindano ya damu positive hapati maambukizi. Kwa hoja hiyo anaweza akaona ni wazi kuwa hakuna ukimwi ila nakupa jambo dogo sana naomba uka google usome kuhusu CD4 receptor au CCR5 mwilini inafanya kazi gani ukielewa basi go strait ukamkosoe kwa hoja anasema hivo sababu hajapata mkosoaji mwenye evidence zozote oky
 
Hawezi jirisky. Hawa wanatumia notes Tu za mtandaoni
 
Watu wenye angalau hoja zenye mashiko ndo mnaibuka leo Deception hayupo kwa jukwaa, kipindi kile alipangua hoja zote hadi madaktari wakakimbia jukwaa na hapo ndipo wengi kama sio baaadhi ya watu tukaacha kuogopa ukimwi na kuishi maisha ya amani ya moyo.
 
Sasa nawaelewa ambao hawataki kupima mkuu
 
Deception yupo wapi mwenye namba zake mwambieni tunaomba arudi jf
 
Seriously mkuu??no H.I.V ??
 
Umeanza vzr ila mwisho ndo umeharibu
 
Naona boss umeketi zaidi katika faida za ARV while zina hasara kuliko hizo faida.
 
Huyu ndugu alisababisha nikapime ngoma ili kwa kujiamini kabisa kama nikikutwa nao nifate ule mfumo wake wa kuishi bahati nzuri nikakutwa niko mzima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…