Tangu Deception aanze kampeni yake kuhusu UKIMWI, kuna yeyote humu ndani ambaye amemuamini?

Tangu Deception aanze kampeni yake kuhusu UKIMWI, kuna yeyote humu ndani ambaye amemuamini?

Huyu jamaa kwa muda mrefu amekuwa akieleza kuwa hakuna UKIMWI wala HIV bali ni hoax flani hivi iliyoanzishwa na watu ilikupiga hela. Kwa maana wauze ARV ila hakuna cha UKIMWI wala nini.

Hamaanishi kuwa ukimwi umetengenezwa ili wauze dawa bali hakuna hata huo ugonjwa.

Mimi huwa ninachojiulizaga ''ni kweli huyu jamaa yuko tayari kuchukua damu ya mtu ambaye sisi tunaamini ana HIV na viral load ya kutosha tumchome yeye Deception au tumchukue mdada mwenye ngoma halafu apige bila condom?''

kwa kweli mimi simuamini,wenzangu nyie vipi?
Imawezekana kweli yeye hata akichoma sindano ya damu positive hapati maambukizi. Kwa hoja hiyo anaweza akaona ni wazi kuwa hakuna ukimwi ila nakupa jambo dogo sana naomba uka google usome kuhusu CD4 receptor au CCR5 mwilini inafanya kazi gani ukielewa basi go strait ukamkosoe kwa hoja anasema hivo sababu hajapata mkosoaji mwenye evidence zozote oky
 
Imawezekana kweli yeye hata akichoma sindano ya damu positive hapati maambukizi. Kwa hoja hiyo anaweza akaona ni wazi kuwa hakuna ukimwi ila nakupa jambo dogo sana naomba uka google usome kuhusu CD4 receptor au CCR5 mwilini inafanya kazi gani ukielewa basi go strait ukamkosoe kwa hoja anasema hivo sababu hajapata mkosoaji mwenye evidence zozote oky
Hawezi jirisky. Hawa wanatumia notes Tu za mtandaoni
 
Watu wenye angalau hoja zenye mashiko ndo mnaibuka leo Deception hayupo kwa jukwaa, kipindi kile alipangua hoja zote hadi madaktari wakakimbia jukwaa na hapo ndipo wengi kama sio baaadhi ya watu tukaacha kuogopa ukimwi na kuishi maisha ya amani ya moyo.
 
Kuna siku Deception ktk moja ya maandiko yake alisema ss jamaa wana mpango wa kulazimisha mtu akipimwa akakutwa na maambukizi(feki) anaanzishiwa dawa (ARV)direct hata kama CD4 ziko 900.

Kwa wanaojua mtu alikua anaanzishiwa dose ikiwa cd4 zimeshuka hadi 250 hv lkn ss maadam tu umepimwa ukakutwa +ve unaanzishiwa.
Why this??jamaa waligundua watu wanapotezea dawa zao na hawaoni issue.
La ajabu haikupita muda waziri mwenye dhamana huyuhuyu akiyepo sasa akatangaza vilevile na vyombo vya habati vikaripoti na kumnukuu
Sasa nawaelewa ambao hawataki kupima mkuu
 
Watu wenye angalau hoja zenye mashiko ndo mnaibuka leo Deception hayupo kwa jukwaa, kipindi kile alipangua hoja zote hadi madaktari wakakimbia jukwaa na hapo ndipo wengi kama sio baaadhi ya watu tukaacha kuogopa ukimwi na kuishi maisha ya amani ya moyo.
Deception yupo wapi mwenye namba zake mwambieni tunaomba arudi jf
 
Mkuu umetumia mkwara sana. Kwanza kama unajua ni kwamba kwenye vipimo hua hakipimwi kirusi wanapima antibodies so hiyo bado siyo justification ya kusema ati mtu ana maambukizi ya HIV.

Ukiachilia mbali taarifa zilizoibua scandal ya mchezo mchafu kuhusu HIV/AIDS mm binafsi nimeshashuhudia visa kadhaa vyenye utata mwingi kuhusu watu waliosadikika kuwa na maambukizi ya HIV baadhi yao ni ndg zangu wa karibu kabisa na mwingine mshikaji workmate. Mtu anaishi na mwenzi wa ndoa ambaye akipimwa anaonyesha yuko +ve lkn mwenzake hana maambukizi na wamekua wanashiriki sex all time.

Mtu umeshamgundua kuwa na maambukizi fake hayo kisha akaanza kupewa ARV unashangaa nini sasa kwamba baadaye akipimwa anakutwa tena +ve?wakati zile AZT after long use zina suppress immune? Kwani hujui kuwa kidney failure an changamoto za ini huchangiwa na AZT??

jaribu pia kuchunguza hali halisi zinazotokea kwenye jamii zetu kwa waliosemekana wana maambukizi ya HIV utaona vituko vingi.

Anyway mm siping just kupinga ila kwa kupenda kujifunza nilikuja kugundua michezo ya wamagharibi kuwa michafu sana hasa kwa nchi zetu hizi. They are smart enough hata kucontorl habari so tunasikia habari wanazotaka tusikie.

Finally tunaishia kukubaliana kutoafikiana. Ila kwa msimamo wangu mm. HIV EBOLA yote michezo michafu.na sterling wao US
Seriously mkuu??no H.I.V ??
 
Sasa naomba nikushauri kitu kimoja mkuu,

Inaonekana kabisa huna elimu kuhusu huyu mdudu hata ile ya kawaida tu.

Kwa ulivyo ni rahisi sana kuwa defeated hebu acha u-bias halafu kaa chink soma vitabu vya kawaida vinasemaje na denialist wnasemaje pia

Ukimaliza njoo ujenge hoja usiokoteleze ya mwenzako deception ambaye hajafanya cha ziada tofauti na kusoma na kuangalia documentaries you tube
Umeanza vzr ila mwisho ndo umeharibu
 
Deception huo ni mtizamo wako.

System ya marekani kutoa hela kwenda kufanya research usifikiri ni kama hapa Bongo. Ni process na lazima research iwe documented kwenye kila stage. Sio rahisi fedha kwenda sehemu tofauti kama unavyosema. Wana rules na regulations. Na funding haidhinishwi na mtu binafsi bali ni congress.

Kwa taarifa yako tu ni kwamba dawa nyingi za ARV almost 80% kwa hapa bongo zinatoka India kwa sababu ni generic na sio brands za marekani.

Kaagalie history ya mwanamziki Prince wa marekani aliyefariki hivi karibuni. Aligundulika ni HIV positive miaka ya 90'.

Jamaa alikataa kutumia dawa. Miezi sita kabla ya kufa akagundulika tayari ana ugonjwa wa AIDS. Na alikataa kunywa dawa akiamini Mungu atamponya mpaka kifo chake.

Kwa nini nasema haya. Baada ya Prince kuwa HIV positive, aliendelea kula vizuri na kutunza afya yake, maana yake ni kwamba alikula vizuri hivyo kinga yake ikawa nzuri. Nafikiri hapo ndipo unabase kwenye theory yako ya LIFESTYLE/AIDS hypothesis.

Ila miaka ilivyozidi kwenda virusi vilidhoofusha kinga ya mwili kwa sababu virusi vya HIV vinazaliana kwa wingi na hatimaye mhusika kupata ugonjwa kwa sababu kinga ya mwili inakuwa imedhoofishwa.

Deception unashindwa kuelewa, dawa za ARV kwa sasa zina kazi tatu.

1. Kuzuia virusi vizisidi kureplicate ndani ya mhusika
2. Na virusi vikishindwa kuzaliana, Viral load inakuwa chini kiasi kwamba si rahisi mhusika kuambukiza mtu mwingine virusi (Usipotumia dawa ni rahisi kuambukiza mtu.)
3. Kuzuia mtoto aliye tumboni mwa mama kupata maambukizi ya HIV
4. Kama PEP - Kuzuia maambukizi kwa aliyebakwa, au kuzuia maambukizi kwa wataalam wa afya wanapokuwa contact na damu au vimiminika kutoka mwili wa binadamu na anaona ni hatarishi, au unapokuwa umefanya ngono hatarishi.

Cancer mpaka sasa researchers hawajui ni kitu gani kinachochea huu ugonjwa. Speculations ni nyingi. Na kumbuka Cancer haiambukizi sio kama Virusi vya HIV. Ningekuwa mimi ningepeleka research kutame ugonjwa ninaojua unaambukiza zaidi, na ndicho wanachofanya.

Hebu nikuulize ndugu unafikiri tajiri mkubwa kama Steve Jobs angekubali kufa na cancer ya ini bila kuchangia research apone?
Naona boss umeketi zaidi katika faida za ARV while zina hasara kuliko hizo faida.
 
Huyu ndugu alisababisha nikapime ngoma ili kwa kujiamini kabisa kama nikikutwa nao nifate ule mfumo wake wa kuishi bahati nzuri nikakutwa niko mzima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe una matatizo,tena matatizo makubwa sana,wapi nimesema hakuna ukimwi?Hebu tafuta post hata moja niliyosema kwamba hakuna ukimwi halafu ubandike hapa ili wanaokusoma wakuelewe unachomaanisha.

Sasa kama haya mambo madogo sana unashindwa kuyaelewa,itakuwa yale makubwa ya kufikirisha?Eti deception anasema hakuna ukimwi...sasa waoneshe watu wapi nimesema hivyo.Usipoweza kuwaonesha watu wapi nimesema hivyo jihukumu mwenyewe wewe ni mtu wa aina gani.

Halafu kama ikitokea watu wote humu hawaamini ndio itakuwaje sasa kwa unavyofikiri wewe?Kwa hiyo kwa mfano watu dunia nzima wakisema hatuamini kama kuna jua,basi ndio kweli hakuna jua,au vipi?

Miaka ya 1600 Galileo alisema dunia inazunguka jua,lakini watu wote kipindi kile hawakumwamini...kwahiyo ni kweli dunia haizunguki jua kwakua wengi hawakumwamini?

Huoni kwamba kuelewa ni suala la uwezo wa mtu binafsi?Ndio maana darasani kuna wa kwanza na wa mwisho.

NB:
Hata kama wote humu watasema hawaniamini,ndio inakuaje sasa?Kama wote humu ni wajinga na wavivu wa kufikiri sasa mimi nitawasaidiaje?Ninachokiweza ni kutoa elimu kwenu,kama hamtaki kuelewa au hamwelewi sina uwezo wa kuwalazimisha kwakua kila mtu ana uhuru wake...kwani ni lazima kuwaokoa watu wote?Lazima wapo watakaopotea,sasa hilo si kosa langu.

Hapa hatuangalii IMANI,hii ni sayansi bwana...kama huelewi hilo tatizo lako binafsi....mtu unashindwa kutofautisha hata HIV na ukimwi mambo ambayo ni very basic..kwenye ukimwi unasema HIV kwenye HIV unasema ukimwi....sasa wewe unafikiri nitakusaidiaje...hicho ni kilema kikubwa sana.
Ahsante!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom