Tangu Deception aanze kampeni yake kuhusu UKIMWI, kuna yeyote humu ndani ambaye amemuamini?

je kama hakuna HIV nini kinasababisha AIDS?

Haya ndio maswali ambayo mnatakiwa muulize sasa.Jibu lake hapa pia ni somo kubwa sana,fuatilia post zangu mbalimbali kuna sehemu nyingi nimejibu hilo swali.

Kwa kuongezea tu,nataka nikwambie kwamba kuna dawa nyingi sana za hospitali zinasababisha AIDS...hivyo matumizi ya mara kwa mara ya madawa ya hospitali ni moja ya sababu za AIDS...baadhi ya dawa hizo ni ARVs(baba lao),vidonge vya uzazi wa mpango,antibiotics,chemotherapy nk..

Halafu kama hujui nikwambie kitu hapa....Kuna dawa ambazo zimetengenezwa maalumu ili zisababishe ukimwi ili kutibu maradhi ya vitiligo...unajua vitiligo?Waulize madaktari wako humu wakueleze inbox..he he heeee....

Sasa wale wanaougua vitiligo hupewa madawa ya kushusha kinga zao za mwili ili zisiwashambulie tishu zao kama vile ngozi nk...yaani dawa hizi zinawapa ukimwi wagonjwa wa vitiligo kwa makusudi maalum kabisa na si bahati mbaya...hata madaktari wanalijua hilo,waulize watakwambia...he hee hee...

Nadhani sasa unaanza kupata picha kwamba ukimwi sio ishu ya kuitolea sana macho kama utaielewa.Halafu huyo HIV anayesingiziwa ni kiini macho tu....mimi nakusaidia kufumbua hicho kiini macho kama utapenda.Madaktari wengi hasa hawa wa bongo hawajui kufumbua hilo fumbo pia...ndio maana nipo hapa kuwapa wote ninyi somo hili,madaktari popote mlipo kuweni wapole na mjifunze kutoka kwangu,ubishi usio na tija haufai.
 

Mleta mada kaiandika juu juu na wachangiaji wengi naamini hawakusoma mada yako ya awali.

Nimenukuu tu kipande cha jibu lako kwake mleta mada ili kusisitiza ukweli kwamba kuna tofauti kati ya UKIMWI na HIV.

UKIMWI siyo ugonjwa kama jina lilivyo - UPUNGUFU WA KINGA MWILINI

HIV pia si ugonjwa bali ni kirusi kinachosabibisha kufisha nguvu za kinga mwilini.

Lakini hadi sasa hajathibitishwa kisayansi kwamba kuna kirusi hicho (HIV) mbali na kwamba kinaleta ugonjwa wa UKIMWI.
 


Haya maneno: VVU, UKIMWI, AIDS, watu bado wanachanganya sana kujua utofauti wake na mfanano wake.

Wewe mwenyewe umeanza kufafanua vyema kabisa, ila angalia ulivyomalizia ufafanuzi wako: "... kinaleta UGONJWA wa UKIMWI"

-Kaveli-
 
MBONA WATU WANAKUFA NA MAGONJWA KAMA MAGONJWA YOTE YANATIBA? ACHA UPUMBAVU
Malaria inatibika,watu wote wanajua kama inatibika,hata wewe unajua....lakini hadi leo hii malaria bado inaua watu wengi sana duniani.Sasa wewe ulitaka malaria isiue watu eti kwa kuwa inatibika?What is your point?Yaani wewe huelewi hata hicho ulichoandika kina maana gani,unajiandikia tu....haya sasa na mwenzako akikutukana usiwe na hasira,kwa maana ulichoandika hakileti sense.
 
Huyo nae mshenzi tu
 
Umeshuhudia face-to-face?? Haya bana
 

Deception acha kupotosha jamii. Unaposema matumizi ya mara kwa mara ya madawa hospitali unazungumzia nini? Mara kwa mara unaipima vipi? Mara kwa mara ni ngapi? Siku, mwezi, wiki au miaka mingapi?

Hivi unaelewa kila dawa duniani ina benefits vs risks? Achana na dawa. Leo kapige mayai yaliyochemshwa kama kumi hivi, halafu leta mrejesho wake. Mayai ni dawa? mbona yamekupa effects. Hakuna dawa duniani haina madhara na kwa kawaida dawa kabla haijaenda kwa mlaji lazima ipitie regular stages of testing kuanzia wanyama na hata binadamu wa race tofauti ndiyo iwe released ili iwe na less na less toxicity. Unapopewa dawa na Dk. akakuambia unywe maji mengi, hatungi haya mambo maji yanasaidia dawa iliyobaki itoke mwilini kupitia mkojo au vinginevyo ili madhara yasiwepo.

Huwezi ukasema uzazi wa mpango unasababisha AIDS. Acha basi kujifanya unajua wakati hujui. Mpaka Antibiotics zinasababisha AIDS. ahh basi mkuu nimenyanyua mkono.πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›. Ama kweli ndiyo maana unasema HIV haipo. Umepeleka kesi kusingizia dawa.

Halafu kama hujui nikwambie kitu hapa....Kuna dawa ambazo zimetengenezwa maalumu ili zisababishe ukimwi ili kutibu maradhi ya vitiligo...unajua vitiligo?Waulize madaktari wako humu wakueleze inbox..he he heeee....

Deception acha kuandika kitu usichokifahamu. Ugonjwa wa ngozi wa Vitiligo hauna dawa. Hakuna dawa ambayo inaweza kusimamisha process ya Vitiligo. Hakuna na hakuna dawa inayoweza kurudisha celi za melanocytes, hakuna acha kupotosha. Dawa zilizopo ni za kuimprove skin appearance. Nenda kaangalie hawa mastaa wote jinsi Vitiligo inavyowaathiri, halafu njoo uelezee kwanini hawaponi na hela zao zote. 18 Celebrities with Vitiligo
 
Sasa ndugu tuandie kilugha cha kuweza kuelewa wengine lugha za kitabibu hatuzijui
 

Sasa ndiyo naelewa shida yako iko wapi. Wewe ni mwanafunzi uliyesoma halafu ukaona unajua zaidi ya wale waliokufundisha bila udadisi wowote. Unamiss point kidogo sana mkuu.

DECEPTION- HIV ipo ila wewe unasema haipo kwa sababu HIV virus haina syndrome. Madaktari wako wa miaka ya themanini wanasema HIV ni fake. Ni kwa sababu haina Syndrome. Japo AIDS ni syndrome. Technolojia yao wakati huo ilikuwa nyuma sana. Wakati huo hata simu za mkononi sehemu nyingi duniani zilikuwa hazipo achilia mbali technolojia ya medical nzuri. HIV kutokuwa na syndrome haimaanishi HIV haipo.

Naomba nirudie. HIV ipo ila haina syndrome. Maana yake ni nini. Virusi vya HIV kazi yake kubwa ni kuvamia kinga ya mwili. Naomba nirudie. Mwisho wa siku HIV virus inavamia kinga ya mwili na kuzaliana na kuufanya mwili ukose kinga ya kupambana na magonjwa.

Tatizo lako lipo hapa kijana - Ni uelewa tu.

AIDS in ugonjwa unaosababishwa na kutokua na kinga kwenye mwili wako. Au amua kusema AIDS ni upungufu wa kinga mwilini. Chagua unachotaka lakini mantiki ni yale yale. Kwa sababu unakubali AIDS ni real, hilo sina shida nalo.

Kwa sababu HIV inavamia kinga ya mwili na kukufanya uwe vulnerable, basi mwisho wa siku utapata ugonjwa. Hiyo ndiyo stage wanayosema una AIDS.

Kwanini waseme mtu ana AIDS? Kuna stages na symptoms zake.

Ukiwa na AIDS unaweza ukapata mafua na ukafa kwa sababu huna askari wa kukulinda. Au unaweza ukapata Diarrhea na ukafa kwa sababu ya mashambulizi na kukosa maji.

Katika haya yote huwezi kuexclude HIV virus. Yeye ndiye kafanya kinga ya mwili ipungue na hatimaye huyu mtu amepata maambukizi.

Kwa maana hiyo huwezi kusema HIV haipo na haisabishi AIDS. Huwezi ukatenga HIV na AIDS. Mwanzoni huyu jamaa alivyopata mafua au Diarrhea hakufa kwa sababu kinga ilikuwa ipo. Lakini baada ya kinga kuondoka haya magonjwa yakamchukua huyu mtu.

Huwezi ukasema mtu alikuwa HIV positive na apata AIDS ukasema HIV sio chanzo na haipo.

Nimemaliza.



 
Haya maneno: VVU, UKIMWI, AIDS, watu bado wanachanganya sana kujua utofauti wake na mfanano wake.

Wewe mwenyewe umeanza kufafanua vyema kabisa, ila angalia ulivyomalizia ufafanuzi wako: "... kinaleta UGONJWA wa UKIMWI"

-Kaveli-
Labda hukuelewa. Ni kwamba haijathibitishwa kisayansi HIV inaleta/inasababisha UKIMWI (AIDS) mbali na kwamba kirusi hicho pia hakijathibitishwa kuwapo
 
"Sir With Love" na "Deceiption" naomba mtwambie "nature and characteristics" za "virus" kiuhusiano na maambukizi ya ugonjwa kwa binadamu
 
"Sir With Love" na "Deceiption" naomba mtwambie "nature and characteristics" za "virus" kiuhusiano na maambukizi ya ugonjwa kwa binadamu
Mwengeso sijapata maudhui yako lakini naelewa virus nyingi ni mfumo wa protein. Na kawaida virus huvamia host anaye target. Akisha vamia anajipanga na kuanza kuzaliana kwa wingi halafu wanatoka na kwenda kuvamia cell nyingine.

Lakini mkuu kikubwa hapa kwa deception ni kukataa HIV ipo.

Hichi kitendo alikifanya Mbeki raisi wa south Africa kipindi hicho na watu wengi walikufa kwa upumbavu wake. Wengi waliacha dawa na ikawa rahisi kuambikizana.

Mbeki alikuja kukana mwaka 2010 au 2012 kwamba hakusema virusi havipo, akasema alikuwa ana maana kwamba HIV virus haina syndrome.

Kwa bongo hapa kuwaambia vijana wadogo ambao hawana ufahamu wa maswala ya ngono ni kuwaharibia maisha kwa sababu hata condom hawatatumia.
 
Nashauri wewe na "deception" mfanye 'exclusive interview' wengi tufaidike.

Mojawapo ya majibu yako umeandika ni kweli HIV haina syndrome, je, virusi vyote huambukiza, na kama siyo, ni jinsi gani vinavyombukiza uambukiza.

Labda pia swali la kujiuliza mtu anapopimwa kirusi ni kirusi chenyewe hupimwa kama vile malaria, minyoo, nk au ni matokeo yake katika mwili wa binadamu!
 
Mwengeso sina tatizo na Mdogo wangu Deception. Tatizo langu kwake ni kupotosha jamii.

Kwanza kabisa. Deception anasema hakuna mtu alishawahi kuona HIV virus.
Hayo anayatoa you tube. Picha zenyewe you tube ni za miaka ya themanini. Kipindi hicho inawezekana hiyo tech. Ilikuwa haipo.

Kwa sasa under electron microscope unaweza kukiona na hata kinavyoshambulia cell.

Deception ana kataa.

Sasa mkuu unaingia na yeye kiundani kivipi.

Kumbuka hapa tunatafsiri kutoka English kwenda kiswahili na kutumia lugha ya uji wa mgonjwa ili watu waelewe.

Exclusive interview na Deception ni yeye atumie hizo nguvu kuzielekeza WHO na MOHCDEC kwamba hivi virusi havipo na kwa kuwapa watu ARV ndiyo kunasabisha AIDS. So funny.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…