Tangu Deception aanze kampeni yake kuhusu UKIMWI, kuna yeyote humu ndani ambaye amemuamini?

Nimegusia ugonjwa wa kansa ambao hadi leo, pamoja na kuua watu wengi, haujapata kinga. Hauwezi kupata kinga kwa kuwa kirusi chake hakijagunguliwa.

Deception, ni hakika HIV)AIDS imekuwa IMANI. Imekuwa imani kwa kuwa toka mwanzo wake inahusiswa na kifo (hakuna tiba) na ati inaambukizwa kwa kujamiiana! Uwongo mtupu kisayansi hadi sasa.
 


Mkuu Deception, thanks kwa kuifafanua logic hiyo. Nimejifunza kitu hapo.

Ila naona MD wetu From Sir With Love kakimbia na kuususia mjadala huu.

-Kaveli-
 

Mkuu Mwengeso umetumia factor gani ku upload hizi video! Maana nimejaribu sana kuzileta humu naambiwa zina bit nyingi, nabwaga manyanga.
 
Wakuu Pitieni na link hii ´´ AIDS Wiki.Net´´ Rethinking HIV/AIDS
 

Mkuu Mwengeso umetumia factor gani ku upload hizi video! Maana nimejaribu sana kuzileta humu naambiwa zina bit nyingi, nabwaga manyanga.
Pole kwa kushindwa kuziteremsha. Lakini tumezijadili kiasi
 
Kama yeye ana ngoma hawezi kuogopa sindano yenye damu yenye HIV+.
 
Mkuu Deception, thanks kwa kuifafanua logic hiyo. Nimejifunza kitu hapo.

Ila naona MD wetu From Sir With Love kakimbia na kuususia mjadala huu.

-Kaveli-
Nafikiri labda ametingwa na majukumu,anaweza kurudi baada ya muda,tuvute subra.Lakini mimi nilimtaka sana kaka yake mkuyati,From Sir With Love hajui hata basics,sasa mkuyati akija ndio itakuwa vizuri,kwa maana nikimnyoosha yeye waziwazi itasaidia wengine kujua kwamba hawa ma MD wetu hawajui ukweli.wa suala hili.Lakini tatizo ni kwamba huwa hawaendelei na kumaliza hoja,wanapoona Maji yako shingoni wanakimbia halafu wanarudi pale hoja inapobadilika......wameshindwa kujibu maswali yote yenye utata...sasa nataka watu waniulize mimi maswali yote ambayo wao wanadhani yana utata nami nitayajibu kwa ufasaha kabisa,kama mtu akishindwa kuelewa basi nabwaga manyanga kwa maana mtu huyo HIV/AIDS kwake itakuwa ni kama IMANI.
 
Hivi mkuu kwani wapimaji wa HIV wanajuaje kwamba huyu ana HIV na huyu hana? Maana nasikia kuna vifaa vidogo vinavyotumika kupimia HIV, damu inadondoshwa kwenye kifaa hicho na kisha mpimaji anadondoshea matone ya dawa kwenye kidude hicho chenye damu na kisha anasuburi kwa muda wakati dawa hiyo ikijichanganya na damu na baada ya muda sijui kuna mstari wa kijani sijui mwekundu ambao damu ikionekana hapo basi ana-conclude kwamba wewe ni ve+ au ve- tena bila kuchungulia kwenye mashine wala nini. Yaani inavyoonekana ni kwamba vijidudu hivyo vinavyoitwa HIV havijulikani hata na wanaopima ugonjwa huo. Je, kuna namna ambayo wataalamu wa MD wanayotumia kuviona vijidudu hivyo?
 
swali nzuri hata mimi linanichanganyaga ebu wajuzi watatujuza... pia na napenda watujeze wanajuaje cd4 za mtu zimeshuka
 
MBONA WATU WANAKUFA NA MAGONJWA KAMA MAGONJWA YOTE YANATIBA? ACHA UPUMBAVU
Wewe ndio mjinga, kufa lazima tufe hakuna atakae baki na ugonjwa ni sababu tuu ya kifo cha mtu ili msije sema UCHAWI maana hamkawii.Kila ugonjwa una tiba yake na kikitokea kifo sio kwamba ugonjwa ndio uliomuua bali ni sababu tu ANAYEFISHA NI MWENYE-EZI MUNGU TUUU.
 
wewe ndo unapotosha jamii kwa mambo uliokariri.
 
Mkuu hakuna ugonjwa usio na tiba acheni mambo mliokariri kwenye vitabu vya wazungu ambao ni binadamu wenzenu.Magonjwa yote yana tiba isipokuwa kifo.
 
Mkuu hakuna ugonjwa usio na tiba acheni mambo mliokariri kwenye vitabu vya wazungu ambao ni binadamu wenzenu.Magonjwa yote yana tiba isipokuwa kifo.
nipe TIBA YA UKIMWI,CANCER na EBORA?
 
Kuna kirusi mwingine kagundulika recently?
 
nipe TIBA YA UKIMWI,CANCER na EBORA?

1.Ukimwi si ugonjwa....hivyo unatakiwa kujua suala hili ambalo ni very basic
2.Sio EBORA ni EBOLA.....hata hivyo hakuna ugonjwa kama huo,EBOLA ni fiction tu
3.Cancer ni ugonjwa halisi,sasa hapa ndio naweza kukujibu.Ili uelewe kuhusu cancer na tiba yake,ingia kwenye link hii hapa chini.....

Hidden cancer cures
 
Me nilisomaga ile thread nzima na mwisho wa siku nikajikuta naamini hoja za deception, na sijawahi kuwa huru na amani kiasi hiki katika maisha yangu. Na nina imani baada ya miaka 20 story za ukimwi zitakuwa nadra sana km bikra uswahilini

NB. Me sio doctor na kujieleza siwezi, so msianze kurundika maswali kwangu
 
mhh????????
 

napita mkuuuuuu maana hutaki maswali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…