Deception acha kupotosha jamii. Unaposema matumizi ya mara kwa mara ya madawa hospitali unazungumzia nini? Mara kwa mara unaipima vipi? Mara kwa mara ni ngapi? Siku, mwezi, wiki au miaka mingapi?
Hivi unaelewa kila dawa duniani ina benefits vs risks? Achana na dawa. Leo kapige mayai yaliyochemshwa kama kumi hivi, halafu leta mrejesho wake. Mayai ni dawa? mbona yamekupa effects. Hakuna dawa duniani haina madhara na kwa kawaida dawa kabla haijaenda kwa mlaji lazima ipitie regular stages of testing kuanzia wanyama na hata binadamu wa race tofauti ndiyo iwe released ili iwe na less na less toxicity. Unapopewa dawa na Dk. akakuambia unywe maji mengi, hatungi haya mambo maji yanasaidia dawa iliyobaki itoke mwilini kupitia mkojo au vinginevyo ili madhara yasiwepo.
Huwezi ukasema uzazi wa mpango unasababisha AIDS. Acha basi kujifanya unajua wakati hujui. Mpaka Antibiotics zinasababisha AIDS. ahh basi mkuu nimenyanyua mkono.
😛😛😛😛. Ama kweli ndiyo maana unasema HIV haipo. Umepeleka kesi kusingizia dawa.
Deception acha kuandika kitu usichokifahamu. Ugonjwa wa ngozi wa Vitiligo hauna dawa. Hakuna dawa ambayo inaweza kusimamisha process ya Vitiligo. Hakuna na hakuna dawa inayoweza kurudisha celi za melanocytes, hakuna acha kupotosha. Dawa zilizopo ni za kuimprove skin appearance. Nenda kaangalie hawa mastaa wote jinsi Vitiligo inavyowaathiri, halafu njoo uelezee kwanini hawaponi na hela zao zote.
18 Celebrities with Vitiligo