Tangu Deception aanze kampeni yake kuhusu UKIMWI, kuna yeyote humu ndani ambaye amemuamini?

Kuna siku Deception ktk moja ya maandiko yake alisema ss jamaa wana mpango wa kulazimisha mtu akipimwa akakutwa na maambukizi(feki) anaanzishiwa dawa (ARV)direct hata kama CD4 ziko 900.

Kwa wanaojua mtu alikua anaanzishiwa dose ikiwa cd4 zimeshuka hadi 250 hv lkn ss maadam tu umepimwa ukakutwa +ve unaanzishiwa.
Why this??jamaa waligundua watu wanapotezea dawa zao na hawaoni issue.
La ajabu haikupita muda waziri mwenye dhamana huyuhuyu akiyepo sasa akatangaza vilevile na vyombo vya habati vikaripoti na kumnukuu

Jana nimewauliza watetezi wa hii myth , ni nini huwa positive au negative katika vile vipimo vyao, jamaa wanazunguka tu hawajibu sababu pale kuna uongo fulani wanaukwepa.

Ndiyo maana nikasema wale wenye mwangaza kidogo wawaelimishe ndugu zao huko vijijini kwao ,sababu tunaongopewa sana.

Nina uhakika kabisa asilimia kubwa yetu tuna matitizo ya Moyo, msukumo wajuu wa damu, na hii inatokana na zile kampeni tulipigwa yale machanjo(vaccination).
Wanakuja na zuga nyingi sijui chanjo ya nini sijui kumbe tunapewa sumu itumalize taratibu.
 
Siku hizi kina mama wajawazito wanalazimishwa chanjo nyingi tu,
Na vikwazo vingi kama hatokubaliana nao.
 
Deception hata mimi sikuamini na sitakaa kuamini Ukimwi haupo na wote mnaosema haupo waongo wakubwa jitokezeni redioni katika Tvs kupinga hayo sio mitandaoni tu
Hali ya Upungufu wa Kingwa Mwilini (UKIMWI/AIDS) ipo lakini si ugonjwa na hivyo haimbukizwi ila hali hiyo hutokana na sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na lishe duni, kuguua magonjwa mbalimbali kwa muda mrefu, matumizi ya madawa ya kulevya, matumizi yasiyo sahihi ya madawa, nk.

Pia wataalamu hadi sasa hawajathibitisha kuwepo kwa kirusi kinachosababisha hali hiyo ya UKIMWI na hicho kinachoitwa HIV pia hakichathibitishwa kuwepo au kuhusika na hali ya UKIMWI.
 
Safi sana. Mwengeso.
Pia kuna ushahidi wa kimaabara kuwa dawa zinazodaiwa kupunguza makali ya UKIMWI zinazidisha kuua kinga za mwili.

Ishi kiafya kwa kula chakula cha lishe, mazoezi ya viungo na kupumzika ya kutosha, bila shaka mwili wako utakuwa muda wote na kinga ya kutosha
 
Ukiwaambia watu huu ukweli hawaukubali, ni wabishi, kujiongeza kwa kusoma vitu vingine hawataki.
Yaani ni shida tupu.
 
Jana nimewauliza watetezi wa hii myth , ni nini huwa positive au negative katika vile vipimo vyao, jamaa wanazunguka tu hawajibu sababu pale kuna uongo fulani wanaukwepa.

Ndiyo maana nikasema wale wenye mwangaza kidogo wawaelimishe ndugu zao huko vijijini kwao ,sababu tunaongopewa sana.

Nina uhakika kabisa asilimia kubwa yetu tuna matitizo ya Moyo, msukumo wajuu wa damu, na hii inatokana na zile kampeni tulipigwa yale machanjo(vaccination).
Wanakuja na zuga nyingi sijui chanjo ya nini sijui kumbe tunapewa sumu itumalize taratibu.
Swali zuri sana hilo. Ni nini kuwa positive na negative.
 
Mnnnh huyo si babu wa LOLIONDO mwingine?,waTanzania tuna vichwa vya kuku,hata alivyoibuka Babu wa Loliondo kuna watu walimtetea mpaka basi humu.........its just a matter of time.....mtasema wenyewe..........naiomba serikali iingilie kati ya hili swala,
 
Swali moja tu kwa wale mnaopinga kwamba HIV haisababishi AIDS,

Je, kile kinachopimwa hasa ni nini?

Kwanini hakipotei katika vipimo? Hapa namaanisha akipimwa leo na akapimwa baada ya miaka mitano majibu yanabaki kuwa yale yale ilhali vipimo vingine haitokei ile

Kingine kwanini watu wawili kutoka mazingira sawa wanapimwa na mmoja kugundulika ni positive mwingine Negative ule utofauti ni kitu gani?

Angalizo: Nimesoma articles za kutosha nimeangalia documentaries(sijui kama ipo ambayo sijaangalia) zinazohusu huo mnaoueleza ni Uongo) kwa hiyo ukija kunijibu uwe vizuri usikurupuke)
 
Serikali iongiloe kati suala gani mama?

La hawa denialist kwamba wanapotosha au iimgilie kati kujua ukweli wa HIV?
 
Tusiwe wavivu na wazembe kujifunza. Kwani serikali inaongozwa na malaika?hata viongozi wa serikali hupotoshwa wakapotoka wakafanya maamuzi mabaya yenye athari kubwa ktk jamii. So ujinga na uvivu wako kujifunza ni mauti yako
 
Swali moja tu kwa wale mnaopinga kwamba HIV haisababishi AIDS,

Je, kile kinachopimwa hasa ni nini?

Kwanini hakipotei katika vipimo? Hapa namaanisha akipimwa leo na akapimwa baada ya miaka mitano majibu yanabaki kuwa yale yale ilhali vipimo vingine haitokei ile

Kingine kwanini watu wawili kutoka mazingira sawa wanapimwa na mmoja kugundulika ni positive mwingine Negative ule utofauti ni kitu gani?

Angalizo: Nimesoma articles za kutosha nimeangalia documentaries(sijui kama ipo ambayo sijaangalia) zinazohusu huo mnaoueleza ni Uongo) kwa hiyo ukija kunijibu uwe vizuri usikurupuke)
Mkuu umetumia mkwara sana. Kwanza kama unajua ni kwamba kwenye vipimo hua hakipimwi kirusi wanapima antibodies so hiyo bado siyo justification ya kusema ati mtu ana maambukizi ya HIV.

Ukiachilia mbali taarifa zilizoibua scandal ya mchezo mchafu kuhusu HIV/AIDS mm binafsi nimeshashuhudia visa kadhaa vyenye utata mwingi kuhusu watu waliosadikika kuwa na maambukizi ya HIV baadhi yao ni ndg zangu wa karibu kabisa na mwingine mshikaji workmate. Mtu anaishi na mwenzi wa ndoa ambaye akipimwa anaonyesha yuko +ve lkn mwenzake hana maambukizi na wamekua wanashiriki sex all time.

Mtu umeshamgundua kuwa na maambukizi fake hayo kisha akaanza kupewa ARV unashangaa nini sasa kwamba baadaye akipimwa anakutwa tena +ve?wakati zile AZT after long use zina suppress immune? Kwani hujui kuwa kidney failure an changamoto za ini huchangiwa na AZT??

jaribu pia kuchunguza hali halisi zinazotokea kwenye jamii zetu kwa waliosemekana wana maambukizi ya HIV utaona vituko vingi.

Anyway mm siping just kupinga ila kwa kupenda kujifunza nilikuja kugundua michezo ya wamagharibi kuwa michafu sana hasa kwa nchi zetu hizi. They are smart enough hata kucontorl habari so tunasikia habari wanazotaka tusikie.

Finally tunaishia kukubaliana kutoafikiana. Ila kwa msimamo wangu mm. HIV EBOLA yote michezo michafu.na sterling wao US
 
Mwaka juzi kundi la madaktari India waliishtaki mahakamani taasisi ya Bill&Belinda Gate foundatìon kwa kupeleka chanjo fake india. Hiyo niliisoma kwa majicho yangu mwenyewe

Hii taasisi ni sumu mbaya sana, Huyo Bill Gate mwenyewe anapigia upatu depopulation ya watu. Na kuna video iliwekwa humu alikuwa anahojiwa na Dr Sanjay Gupta, Mwandishi wa habari za afya wa CNN.
 
Mkuu umetumia mkwara sana. Kwanza kama unajua ni kwamba kwenye vipimo hua hakipimwi kirusi wanapima antibodies so hiyo bado siyo justification ya kusema ati mtu ana maambukizi ya HIV.

Ukiachilia mbali taarifa zilizoibua scandal ya mchezo mchafu kuhusu HIV/AIDS mm binafsi nimeshashuhudia visa kadhaa vyenye utata mwingi kuhusu watu waliosadikika kuwa na maambukizi ya HIV baadhi yao ni ndg zangu wa karibu kabisa na mwingine mshikaji workmate. Mtu anaishi na mwenzi wa ndoa ambaye akipimwa anaonyesha yuko +ve lkn mwenzake hana maambukizi na wamekua wanashiriki sex all time.

Mtu umeshamgundua kuwa na maambukizi fake hayo kisha akaanza kupewa ARV unashangaa nini sasa kwamba baadaye akipimwa anakutwa tena +ve?wakati zile AZT after long use zina suppress immune? Kwani hujui kuwa kidney failure an changamoto za ini huchangiwa na AZT??

jaribu pia kuchunguza hali halisi zinazotokea kwenye jamii zetu kwa waliosemekana wana maambukizi ya HIV utaona vituko vingi.

Anyway mm siping just kupinga ila kwa kupenda kujifunza nilikuja kugundua michezo ya wamagharibi kuwa michafu sana hasa kwa nchi zetu hizi. They are smart enough hata kucontorl habari so tunasikia habari wanazotaka tusikie.

Finally tunaishia kukubaliana kutoafikiana. Ila kwa msimamo wangu mm. HIV EBOLA yote michezo michafu.na sterling wao US

Nafikiri mkuu hujajibu swali la msingi

Kwanini baadhi wapimwe wakutwe na hizo antibodies na wengine sio?

Umesema kuna baadhi ya mambo yako complicated mfano wanandoa kuishi mmoja akiwa mwathirika na mwingine mzima sawa

Na mimi nauliza mkuu je, kuna uwezekano wa kupata maambukizi ukishiriki ngono na mwathirika?

Mkuu naamini hata kama una ndugu zako na marafiki ambao wamekumbana na kadhia ya HIV ila hujakutana na niliokutana nao mm

Mimk nmehoji watu wanaoishi na virusi vya UKIMWI wengi sana wanaotumia dawa na wasiotumia kwahiyo nna details za kutosha na siwezi kukubali direct huu ugonjwa ni Fraud au kusema upo nazido kujifunza na kupractise mikasi salama(Napenda sana mikasi mkuu)

Kingine suala la dawa,

Ni kwamba dawa zote zina side effects mwilini,

Hakuna dawa isiyokuwa na madhara na hiyo ni kawaida na side effects zimewekwa wazi,

Na dawa nyingi huumiza mafigo na ini kwa sababu pale DETOXIFICATION ndo inafanyika

Practise safe bro
 
Swali moja tu kwa wale mnaopinga kwamba HIV haisababishi AIDS,

Je, kile kinachopimwa hasa ni nini?

Kwanini hakipotei katika vipimo? Hapa namaanisha akipimwa leo na akapimwa baada ya miaka mitano majibu yanabaki kuwa yale yale ilhali vipimo vingine haitokei ile

Kingine kwanini watu wawili kutoka mazingira sawa wanapimwa na mmoja kugundulika ni positive mwingine Negative ule utofauti ni kitu gani?

Angalizo: Nimesoma articles za kutosha nimeangalia documentaries(sijui kama ipo ambayo sijaangalia) zinazohusu huo mnaoueleza ni Uongo) kwa hiyo ukija kunijibu uwe vizuri usikurupuke)
Mkuu nilikujibu kuwa ktk vipimo vyote vya HIV hua hawamwoni kirusi kama vile wanavyopima wadudu wa malaria. Hua wanaona antibodues wale askari sanaotoka kupambana na uvamizi wa ugonjwa toka nje. Mara uvamizi wa virus/bacteria unapotokea ndipo antibodies hutoka kushambulia hao wavamizi.
Sasa wanapipima hiv ati wakiona wale antibodies wanaconclude kuwa walitoka bse kirusi HIV aliingia ila kirusi mwenyewe hawamwoni au niseme hawampimi
 
Back
Top Bottom