Tangu Diamond awe Tarzan nyota yake imefifia mnooooooo.

Umejaa ujinga na upunguani.

Hata hilo bandiko lako lina makosa mengi ya kiuandishi.

Kwenye kiswahili hakuna kiambishi "ga" kwa hiyo futa hilo neno "nakuambiaga" ,pili rudi darasani ukafundishwe upya matumizi ya O-rejeshi , nilokuwa maana yake nini??hata matumizi sahihi ya njeo huyajui ,hapa usahihi ilibidi uandike , niliokuwa , tatu katika lugha ya kiswahili hakuna bandiko lolote linalianza na njeo bila kutaja nafsi ya mtenda au mtendwa wa jambo.

Mwisho kabisa huwa sipendi mazoea na vijitu vya ajabu ajabu , pia jifunze ku balance shobo.
Hio aliokupiga inaitwa massive attack
 
Alikiba amekupa shingapi?

A Philanthropist&£conomist.
 
Na ndo mana umepata like moja tu,utumbo wa Bata.

A Philanthropist&£conomist.
 
Kiukweli tangu Diamond Platnumz awe na Tarzan (Tanasha) nyota yake imefifia mnoooo.
Hivi hizi nyota mnapima kwa kuangalia nini hasa?!
-Majuzi hapa hajaenda msibani kwa Ruge (Home), Instagram yote pamoja na Youtube inamzungumzia yeye as if ni yeye ndie hakwenda!
-Kachelewa kwenda kuaga pale Karimjee; Instagram yote na Youtube inamzungumzia yeye as if hakuna wengine ambao walichelewa!
-Bado anaendelea kutoa ngoma kama kawaida na bila kujali kama ni mzuri au hapana, bado views zinakimbiza! Angalia kwanza ngoma 4 alizotoa Harmonize huku akishirikisha Wasanii tofauti including Diamond! Ni ngoma aliyomshirikisha Diamond ndiyo inakimbiza views kwa zaidi ya mara tatu ukilinganisha na zingine!!!
-Kalamba Ubalozi wa Pepsi, na jinsi anavyokazana kwa promo, kuna kila dalili Pepsi wanamlipa mpunga mzito sana pengine kuliko aliokuwa analipwa na Coca Cola!
-Ukiangalia Followers wa Instagram; bado wanazidi kupanda kwa sababu ni miezi michache tu iliyopita alikuwa na Followers 6Million lakini hivi sasa anao 6.3 Million! Na kwa kasi hii, kuna kila dalili kabla ya July atakuwa na 6.5 Millions!

Sasa nisaidie wewe!! Kufifia kwake unapima kwa kutumia vigezo vipi?!
 
Hujagundua lengo Diamond ni nini kwa baadaye.Tutulie kitu gani atakuja nacho sababu mwaka haujaisha huu,Kumbuka juzijuzi tu aliitwa Trace Muziki.
 
Kiukweli sikutaka kuliweka hili wazi nimevumilia weeeeee nimeshindwa nimeona acha niseme tu ukweli.

Kiukweli tangu Diamond Platnumz awe na Tarzan (Tanasha) nyota yake imefifia mnoooo ,na ni couple pekee ya Diamond ambayo haina mvuto bora hata ile couple yake na Penny kidogo ina afadhali kuliko huyu tarzan mpaka ninahisi huenda wakenya wamemtuma ndugu yao aififishe nyota ya Diamond kwa kuwa Diamond ni tishio kubwa kwa sasa Africa Mashariki nzima amewaacha mbali mno.

Yani imefika pahala Diamond analinganishwa na Harmonize si matusi haya, yani huyu Harmo ndio wa kumlinganisha na Diamond kweli?????? .

Au ni Harmo ndio anamloga Diamond ili achukue nyota yake maana wamakonde kwa ushirikina hawajambo maana Harmo 99% ya vitu vingi anavyovifanya anatembea mule mule kama Diamond sasa huenda anammaliza chinichini kwa njia za kijadi .

Turudi kwa Tarzan ,huyu mwanamke amechangia kwa kiasi kikubwa kubadilisha muonekano wa Diamond mpaka cutting style mpaka imefika pahala Diamond ule muonekano wa kistaa unaanza kushuka yote haya kwa sababu ya Tanasha.

Diamond aachane na huyu mwanamke kwa kweli yani sidhani hata kama kupika anajua ,halafu bado ana akili za kitoto toto ambayo ni vigumu sana kushauri jambo ambalo litaleta mafanikio.

View attachment 1042528
Kwa hiyo tukusaidie nini?acha kuzurura
 
Umenena jambo Mkuu. Unaonaje ukiolewa naye wewe ili nyota ing'ae. Naona umeandika kwa uchungu sana.
 
Umejaa ujinga na upunguani.

Hata hilo bandiko lako lina makosa mengi ya kiuandishi.

Kwenye kiswahili hakuna kiambishi "ga" kwa hiyo futa hilo neno "nakuambiaga" ,pili rudi darasani ukafundishwe upya matumizi ya O-rejeshi , nilokuwa maana yake nini??hata matumizi sahihi ya njeo huyajui ,hapa usahihi ilibidi uandike , niliokuwa , tatu katika lugha ya kiswahili hakuna bandiko lolote linalianza na njeo bila kutaja nafsi ya mtenda au mtendwa wa jambo.

Mwisho kabisa huwa sipendi mazoea na vijitu vya ajabu ajabu , pia jifunze ku balance shobo.
Hili povu vipi mpaka matako yanakucheza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hizi nyota mnapima kwa kuangalia nini hasa?!
-Majuzi hapa hajaenda msibani kwa Ruge (Home), Instagram yote pamoja na Youtube inamzungumzia yeye as if ni yeye ndie hakwenda!
-Kachelewa kwenda kuaga pale Karimjee; Instagram yote na Youtube inamzungumzia yeye as if hakuna wengine ambao walichelewa!
-Bado anaendelea kutoa ngoma kama kawaida na bila kujali kama ni mzuri au hapana, bado views zinakimbiza! Angalia kwanza ngoma 4 alizotoa Harmonize huku akishirikisha Wasanii tofauti including Diamond! Ni ngoma aliyomshirikisha Diamond ndiyo inakimbiza views kwa zaidi ya mara tatu ukilinganisha na zingine!!!
-Kalamba Ubalozi wa Pepsi, na jinsi anavyokazana kwa promo, kuna kila dalili Pepsi wanamlipa mpunga mzito sana pengine kuliko aliokuwa analipwa na Coca Cola!
-Ukiangalia Followers wa Instagram; bado wanazidi kupanda kwa sababu ni miezi michache tu iliyopita alikuwa na Followers 6Million lakini hivi sasa anao 6.3 Million! Na kwa kasi hii, kuna kila dalili kabla ya July atakuwa na 6.5 Millions!

Sasa nisaidie wewe!! Kufifia kwake unapima kwa kutumia vigezo vipi?!
wacha wee
 
Yaani Chibu alivyonyoa vile nijinywele vyake kanifurahisha sana aisee
 
Back
Top Bottom