Kiukweli sikutaka kuliweka hili wazi nimevumilia weeeeee nimeshindwa nimeona acha niseme tu ukweli.
Kiukweli tangu Diamond Platnumz awe na Tarzan (Tanasha) nyota yake imefifia mnoooo ,na ni couple pekee ya Diamond ambayo haina mvuto bora hata ile couple yake na Penny kidogo ina afadhali kuliko huyu tarzan mpaka ninahisi huenda wakenya wamemtuma ndugu yao aififishe nyota ya Diamond kwa kuwa Diamond ni tishio kubwa kwa sasa Africa Mashariki nzima amewaacha mbali mno.
Yani imefika pahala Diamond analinganishwa na Harmonize si matusi haya, yani huyu Harmo ndio wa kumlinganisha na Diamond kweli?????? .
Au ni Harmo ndio anamloga Diamond ili achukue nyota yake maana wamakonde kwa ushirikina hawajambo maana Harmo 99% ya vitu vingi anavyovifanya anatembea mule mule kama Diamond sasa huenda anammaliza chinichini kwa njia za kijadi .
Turudi kwa Tarzan ,huyu mwanamke amechangia kwa kiasi kikubwa kubadilisha muonekano wa Diamond mpaka cutting style mpaka imefika pahala Diamond ule muonekano wa kistaa unaanza kushuka yote haya kwa sababu ya Tanasha.
Diamond aachane na huyu mwanamke kwa kweli yani sidhani hata kama kupika anajua ,halafu bado ana akili za kitoto toto ambayo ni vigumu sana kushauri jambo ambalo litaleta mafanikio.
View attachment 1042528