Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiukweli sikutaka kuliweka hili wazi nimevumilia weeeeee nimeshindwa nimeona acha niseme tu ukweli.
Kiukweli tangu Diamond Platnumz awe na Tarzan (Tanasha) nyota yake imefifia mnoooo ,na ni couple pekee ya Diamond ambayo haina mvuto bora hata ile couple yake na Penny kidogo ina afadhali kuliko huyu tarzan mpaka ninahisi huenda wakenya wamemtuma ndugu yao aififishe nyota ya Diamond kwa kuwa Diamond ni tishio kubwa kwa sasa Africa Mashariki nzima amewaacha mbali mno.
Yani imefika pahala Diamond analinganishwa na Harmonize si matusi haya, yani huyu Harmo ndio wa kumlinganisha na Diamond kweli?????? .
Au ni Harmo ndio anamloga Diamond ili achukue nyota yake maana wamakonde kwa ushirikina hawajambo maana Harmo 99% ya vitu vingi anavyovifanya anatembea mule mule kama Diamond sasa huenda anammaliza chinichini kwa njia za kijadi .
Turudi kwa Tarzan ,huyu mwanamke amechangia kwa kiasi kikubwa kubadilisha muonekano wa Diamond mpaka cutting style mpaka imefika pahala Diamond ule muonekano wa kistaa unaanza kushuka yote haya kwa sababu ya Tanasha.
Diamond aachane na huyu mwanamke kwa kweli yani sidhani hata kama kupika anajua ,halafu bado ana akili za kitoto toto ambayo ni vigumu sana kushauri jambo ambalo litaleta mafanikio.
View attachment 1042528
Tulia dawa ikuingie vizuri, unavyoruka-ruka hivi utavunja sindano.Umejaa ujinga na upunguani.
Hata hilo bandiko lako lina makosa mengi ya kiuandishi.
Kwenye kiswahili hakuna kiambishi "ga" kwa hiyo futa hilo neno "nakuambiaga" ,pili rudi darasani ukafundishwe upya matumizi ya O-rejeshi , nilokuwa maana yake nini??hata matumizi sahihi ya njeo huyajui ,hapa usahihi ilibidi uandike , niliokuwa , tatu katika lugha ya kiswahili hakuna bandiko lolote linalianza na njeo bila kutaja nafsi ya mtenda au mtendwa wa jambo.
Mwisho kabisa huwa sipendi mazoea na vijitu vya ajabu ajabu , pia jifunze ku balance shobo.
Jose Chameleon alikuwa ndiyo best artist in EA kimtonyo na kila kitu ila now kawa wa kawaida tu.Mpaa na ungo mabutu ndio kachangia kumvuruga jamaa tunguli zimembambaa mobeloo
Halafu jamaa alivokua na zari alikua yupo juu na thamani yake imepanda mnoo nawaza sasa hivi tungekua tuna mfananisha na wale wa mtoni
Stress za zari, mixer demu mpya nyota imebumaaa mondi anazidi kuzeeka sura hana mvuto kabisa wa kistaa
Lukole na mademu wapi na wapi?Wewe tangu uwe na demu wako Khadija Nipe,nyota yako imepanda kiasi gani??
Sent using Jamii Forums mobile app