Hio aliokupiga inaitwa massive attackUmejaa ujinga na upunguani.
Hata hilo bandiko lako lina makosa mengi ya kiuandishi.
Kwenye kiswahili hakuna kiambishi "ga" kwa hiyo futa hilo neno "nakuambiaga" ,pili rudi darasani ukafundishwe upya matumizi ya O-rejeshi , nilokuwa maana yake nini??hata matumizi sahihi ya njeo huyajui ,hapa usahihi ilibidi uandike , niliokuwa , tatu katika lugha ya kiswahili hakuna bandiko lolote linalianza na njeo bila kutaja nafsi ya mtenda au mtendwa wa jambo.
Mwisho kabisa huwa sipendi mazoea na vijitu vya ajabu ajabu , pia jifunze ku balance shobo.
Alikiba amekupa shingapi?Umejaa ujinga na upunguani.
Hata hilo bandiko lako lina makosa mengi ya kiuandishi.
Kwenye kiswahili hakuna kiambishi "ga" kwa hiyo futa hilo neno "nakuambiaga" ,pili rudi darasani ukafundishwe upya matumizi ya O-rejeshi , nilokuwa maana yake nini??hata matumizi sahihi ya njeo huyajui ,hapa usahihi ilibidi uandike , niliokuwa , tatu katika lugha ya kiswahili hakuna bandiko lolote linalianza na njeo bila kutaja nafsi ya mtenda au mtendwa wa jambo.
Mwisho kabisa huwa sipendi mazoea na vijitu vya ajabu ajabu , pia jifunze ku balance shobo.
Na ndo mana umepata like moja tu,utumbo wa Bata.Umejaa ujinga na upunguani.
Hata hilo bandiko lako lina makosa mengi ya kiuandishi.
Kwenye kiswahili hakuna kiambishi "ga" kwa hiyo futa hilo neno "nakuambiaga" ,pili rudi darasani ukafundishwe upya matumizi ya O-rejeshi , nilokuwa maana yake nini??hata matumizi sahihi ya njeo huyajui ,hapa usahihi ilibidi uandike , niliokuwa , tatu katika lugha ya kiswahili hakuna bandiko lolote linalianza na njeo bila kutaja nafsi ya mtenda au mtendwa wa jambo.
Mwisho kabisa huwa sipendi mazoea na vijitu vya ajabu ajabu , pia jifunze ku balance shobo.
Akili zako ziko makalioni ndo mana unaendekeza chuki ..shetani we ..anajirizisha moyoni wew endekeza chuki lako shetani weWe nyota yako imepanda kiasi gani toka uanze kuandika habari za Diamond?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye hyo coment yangu chuki iko wapi hapo? Au una hamu ya kubanduliwa jombaaAkili zako ziko makalioni ndo mana unaendekeza chuki ..shetani we ..anajirizisha moyoni wew endekeza chuki lako shetani we
Sent using Jamii Forums mobile app
mimi naona mwonekano mpya uko poa but wao hawako kimahaba, yaani wapo kama wapo tuOtea
Mi nisaidie kujua nyota yangu, kama imepanda au kushuka, inawaka au haiwaki?Kwa hiyo nikusaidie nini?
Hivi hizi nyota mnapima kwa kuangalia nini hasa?!Kiukweli tangu Diamond Platnumz awe na Tarzan (Tanasha) nyota yake imefifia mnoooo.
Hahahahahhahahahhaahhahahahaahahhahah nimecheka darasani kwa nguvu khaaaaaaaa[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Kwa hiyo tukusaidie nini?acha kuzururaKiukweli sikutaka kuliweka hili wazi nimevumilia weeeeee nimeshindwa nimeona acha niseme tu ukweli.
Kiukweli tangu Diamond Platnumz awe na Tarzan (Tanasha) nyota yake imefifia mnoooo ,na ni couple pekee ya Diamond ambayo haina mvuto bora hata ile couple yake na Penny kidogo ina afadhali kuliko huyu tarzan mpaka ninahisi huenda wakenya wamemtuma ndugu yao aififishe nyota ya Diamond kwa kuwa Diamond ni tishio kubwa kwa sasa Africa Mashariki nzima amewaacha mbali mno.
Yani imefika pahala Diamond analinganishwa na Harmonize si matusi haya, yani huyu Harmo ndio wa kumlinganisha na Diamond kweli?????? .
Au ni Harmo ndio anamloga Diamond ili achukue nyota yake maana wamakonde kwa ushirikina hawajambo maana Harmo 99% ya vitu vingi anavyovifanya anatembea mule mule kama Diamond sasa huenda anammaliza chinichini kwa njia za kijadi .
Turudi kwa Tarzan ,huyu mwanamke amechangia kwa kiasi kikubwa kubadilisha muonekano wa Diamond mpaka cutting style mpaka imefika pahala Diamond ule muonekano wa kistaa unaanza kushuka yote haya kwa sababu ya Tanasha.
Diamond aachane na huyu mwanamke kwa kweli yani sidhani hata kama kupika anajua ,halafu bado ana akili za kitoto toto ambayo ni vigumu sana kushauri jambo ambalo litaleta mafanikio.
View attachment 1042528
Wewe tangu uwe na demu wako Khadija Nipe,nyota yako imepanda kiasi gani??
Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTElkhadija kopa au yupi mwingine mkuu
ππππHahahahahhahahahhaahhahahahaahahhahah nimecheka darasani kwa nguvu khaaaaaaaa[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili povu vipi mpaka matako yanakucheza?Umejaa ujinga na upunguani.
Hata hilo bandiko lako lina makosa mengi ya kiuandishi.
Kwenye kiswahili hakuna kiambishi "ga" kwa hiyo futa hilo neno "nakuambiaga" ,pili rudi darasani ukafundishwe upya matumizi ya O-rejeshi , nilokuwa maana yake nini??hata matumizi sahihi ya njeo huyajui ,hapa usahihi ilibidi uandike , niliokuwa , tatu katika lugha ya kiswahili hakuna bandiko lolote linalianza na njeo bila kutaja nafsi ya mtenda au mtendwa wa jambo.
Mwisho kabisa huwa sipendi mazoea na vijitu vya ajabu ajabu , pia jifunze ku balance shobo.
Hahahahahaaaa
wacha weeHivi hizi nyota mnapima kwa kuangalia nini hasa?!
-Majuzi hapa hajaenda msibani kwa Ruge (Home), Instagram yote pamoja na Youtube inamzungumzia yeye as if ni yeye ndie hakwenda!
-Kachelewa kwenda kuaga pale Karimjee; Instagram yote na Youtube inamzungumzia yeye as if hakuna wengine ambao walichelewa!
-Bado anaendelea kutoa ngoma kama kawaida na bila kujali kama ni mzuri au hapana, bado views zinakimbiza! Angalia kwanza ngoma 4 alizotoa Harmonize huku akishirikisha Wasanii tofauti including Diamond! Ni ngoma aliyomshirikisha Diamond ndiyo inakimbiza views kwa zaidi ya mara tatu ukilinganisha na zingine!!!
-Kalamba Ubalozi wa Pepsi, na jinsi anavyokazana kwa promo, kuna kila dalili Pepsi wanamlipa mpunga mzito sana pengine kuliko aliokuwa analipwa na Coca Cola!
-Ukiangalia Followers wa Instagram; bado wanazidi kupanda kwa sababu ni miezi michache tu iliyopita alikuwa na Followers 6Million lakini hivi sasa anao 6.3 Million! Na kwa kasi hii, kuna kila dalili kabla ya July atakuwa na 6.5 Millions!
Sasa nisaidie wewe!! Kufifia kwake unapima kwa kutumia vigezo vipi?!