Tangu Diamond awe Tarzan nyota yake imefifia mnooooooo.

 
Tafuteni hela kwa bidii wapendwa, kujadili nyota ya mtu kufifia ni upuuzi mtupu
 
Kabisa mkuu
 
Majungu si mtaji sema uuze utajirike. Mondi hata akishuka kimuziki(lazima atashuka tu)siku moja,bado hatafanana na wewe unaeishi kwa mtogole,!!hapo ameshatoka yeye.
Fanya na wewe utoboe,umpeleke vacation bi mdashi akale bata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani nashangaa sana Dume zima kusema Demu wa mwenzie inakuhusu nini? ww huyo mwajuma wako ndala ndefu amekufanyia nini zaidi ya kukuloga uwe mmbeya?
 
Mwalimu wa Kiswahili hivi ajira zenu zimetoka?
 
Hapo ndio utajifunza kuwa kuna mtu hatakiwi asemwe vibaya
 
Acha Uongo!
 
Couple yao haina matashtiti wapo kama wanafuatisha script. Swala la nyota labda pugi alisepa nazo zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…