Tangu juzi nipo mitaa ya Barcelona kashinda derby 4-0 lakini sijaona mabango ushamba mzigo

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Posts
18,833
Reaction score
23,276
Nazurura hapa jijini barcelona katika mitaa sijaona bango la ushindi wa 4-0 wala sijaona afsa habari akikata kiuno wala joah larpota akiimbisha nyimbo za kebehi wala kualika watu supu maisha yameendelea ile ni game imekuaje huku kwetu kweli ushamba ni mzigo!
 
Sasa unadhani tabia na mienendo ya waTZ inafanana na waspain...! kila mtu na ustaarabu wake na haimaanishi ustaarabu wa wazungu ni bora kuliko wetu..
 
Wewe jamaa kqma unawsema kweli basi sawa.ila kila nchi zina utamaduni wake yako mambo huko mitaa ya catalunya wanafanya sisi huku hatufanyi. mfano wanaweza kufanya mambo ya kijinsia hadharani mfano kubusisiana hadharani sisi huku kitendo hicho ni unyanyasaji wa kijinsia, hivyo basi mleta mada elewa kila nchi ina utamaduni wake, na kamwe siyo ushamba.
 
Wa wazungu ni bora kuliko wetu wa ushamba ni mzigo kule kufikiri tu kuweka bango ni upuuzi pili kuchemsha nyama za kuoza ni ulimbukeni nani bora hapo mzungu au wewe!
 
Wewe jamaa kqma unawsema kweli basi sawa.ila kila nchi zina utamaduni wake yako mambo huko mitaa ya catalunya wanafanya sisi huku hatufanyi. mfano wanaweza kufanya mambo ya kijinsia hadharani mfano kubusisiana hadharani sisi huku kitendo hicho ni unyanyasaji wa kijinsia, hivyo basi mleta mada elewa kila nchi ina utamaduni wake, na kamwe siyo ushamba.
Umeandika vitu vingi visivyo eleweka rudia tena nisome vizuri!
 
Huko Spain wana sherehe ya kurushiana nyanya. Wewe unapasuliwa nyanya pia?

Majumbani mgeni wa heshima anapewa nyama ya chura huku tumchinjia kuku au mbuzi.
Kila sehemu na namna yao ya kufanya mambo tofauti na pengine. Tunasema tamaduni tofauti.
 
Kwa hiyo mabango ndio utamaduni wa kwenu hebu tueleze mkoa wenu na huko kukosa kwenu ufahamu wa neno utamaduni!
 
Nazurura hapa jijini barcelona katika mitaa sijaona bango la ushindi wa 4-0 wala sijaona afsa habari akikata kiuno wala joah larpota akiimbisha nyimbo za kebehi wala kualika watu supu maisha yameendelea ile ni game imekuaje huku kwetu kweli ushamba ni mzigo!
Na bado hamjasema. Tutawakera hadi mfe mamaye.
 
Back
Top Bottom