kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
- Thread starter
- #21
Ulimbukeni au unajikera!Na bado hamjasema. Tutawakera hadi mfe mamaye.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulimbukeni au unajikera!Na bado hamjasema. Tutawakera hadi mfe mamaye.
Kuna kichapo mnatengenezewa huko Avic Town kinakuja na mabango yake pia. Tumeona namna yanavyowakera. Ndio raha yetu!Nazurura hapa jijini barcelona katika mitaa sijaona bango la ushindi wa 4-0 wala sijaona afsa habari akikata kiuno wala joah larpota akiimbisha nyimbo za kebehi wala kualika watu supu maisha yameendelea ile ni game imekuaje huku kwetu kweli ushamba ni mzigo!
Kwa ulimbukeni wako hata lugha hapo uliyotumia ni ya mzungu kweli ushamba mzigo kwenda shule sio kustarabika!Kuna kichapo mnatengenezewa huko Avic Town kinakuja na mabango yake pia. Tumeona namna yanavyowakera. Ndio raha yetu!
Usituletee ustaarabu wa wazungu kwetu. Kila mtu ana namna yake ya kuishi. Usifanye maisha ya mwingine kuwa instruction manual kwa wote. Ishi maisha yako!
Huoni raha mtu akishinda kihalali bila mpira kutoka nje!Vipi umeona wazee wa Real Madrid wakilalamikia refa na mawaziri wa Spain?
Vipi viongozi wa Real Madrid nao umewaona wakilaumu wachezaji wao kupokea rushwa?
Pumbavu.
Hujajibu we Mbumbumbu.Huoni raha mtu akishinda kihalali bila mpira kutoka nje!
Nimekujibu mpira una raha yake uchezwe bila kutoka nje wala magoli ya offside!Hujajibu we Mbumbumbu.
Hujaona wazee wa Real Madrid, Mashabiki, Viongozi wakilaumu Refa, wadhamini wa Barcelona, Viongozi wa serikali, Viongozi wa Barceloa, Wachezaji wao hadi wao kwa wao?
Alaa sio malimbukeni wanajua ni mchezo kesho zinaweza rudi upande wao kifupi siyo malimbukeni!
Limbukeni!Sisi ndiyo Simba SC AKA;
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.View attachment 3136864
Bado, hadi kipara kiwe cha zamani 😊Limbukeni!
Wangekinywa piaHivyo je supu!
Vipi wazee wa Real Madrid nao wameitisha press media na kujiliza huku wakishtumu refa,wachezaji wao, wachezaji wa Barcelona kuwa hawachezewi rafu,viongoyi wa serikalk ya Spain, Wadhamini wa Barcelona, Viongozi wa Barcelona na kujitoa kushiriki laliga?Wale wa utopolo hawana akili...
Na ushamba na ulimbukeni...
Watu walikula 7 sijui ni timu gani huko ulaya tena kubwa nimeisahau hawajaweka mabango...
Una msongo wa mawazo....😀😀😀Kwa ulimbukeni wako hata lugha hapo uliyotumia ni ya mzungu kweli ushamba mzigo kwenda shule sio kustarabika!